Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,148
- 190,632
Eeh wale wa daddy im going 😅 peremende mnaita candyWatoto wa kishua tumekutanaaa 😀😀😀😀
Pole sana aseee 😀😀😀View attachment 2017657Mminyano wa hatari😅

Eeeh! si unaona tumetoka masaki kuja kupata utamu mnato 😀😀😀Eeh wale wa daddy im going 😅
Pipi mnaita candy sioEeeh! si unaona tumetoka masaki kuja kupata utamu mnato 😀😀😀
Weeh!3 bila now![]()
Sante bob kuleni candyPole sana aseee 😀😀😀
Nawaona watoto mnachezaLeo tunakula vitamu tamu na watoto wenzangubaadae movie
Depal Saint Anne Karma Extrovert View attachment 2017628
Eeh bwana, lazima kuwe na tofautiii 😀😀Pipi mnaita candy sio
Leo tunakula vitamu tamu na watoto wenzangubaadae movie
Depal Saint Anne Karma Extrovert View attachment 2017628

Hii oppa haijakufa tu 😀😀View attachment 2017657Mminyano wa hatari😅
Nipo hapo mkuuShukrani boss
Ila siku nyingine ukija uniambie au unitafute.
Mm ni mlinzi wa hapa geti la emergency, huwa navaa gwanda la blue

Na mshukuru mungu kwa vile hi way msinge pata hata hizo taaYaani Mbeya nzima eti ndio tuna mataa hapo tu,,
Ndio centerView attachment 2017689View attachment 2017690
Na mshukuru mungu kwa vile hi way msinge pata hata hizo taa




Sema hizo taa zikizidi hio foleni yake itakua sio ya nchi hii maana barabara kwa mbeya bado sana aise
Eti jiji zima ndio tunatambia mataa ya hapo tu.
Inabidi tuongeze mengine Meta na Uyole.
Inakufaje aisee gari matunzo tuHii oppa haijakufa tu 😀😀