Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,483
Tangu juzi hauishi tu??🙄🙄Niache na ugali wangu..
View attachment 2017369
Tangu juzi hauishi tu??🙄🙄Niache na ugali wangu..
View attachment 2017369
Sana ali ya ewa manzali kama umo kwenye chai akika nimetembea Tanzania Mungu katujalia maeneo mengi mazuriKuzuri
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] saiz itabidi wewe unichomesheSitaki tena kuchomeshwa mahindi[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] saiz itabidi wewe unichomeshe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nitume picha nipo kanisani[emoji23][emoji23]
Yaani sasa hivi nikuone kabisa umesimama magomeni kanisani ndio nitakuja.
Ndio maana yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nitume picha nipo kanisani
Sawa [emoji1787][emoji1787] jumatatu nitakuwepo mjiniNdio maana yake
Na mimi ntakuwepo[emoji16]Sawa [emoji1787][emoji1787] jumatatu nitakuwepo mjini
Haa sawa mpendwa.Na mimi ntakuwepo[emoji16]
Lina damu?Yai la kwanza la kuku, hili yai ndo nnaweza kusema limevunja virginity ya kuku[emoji28]
Mshana Jr mnatumiaje hili huko kilingeniView attachment 2017423
[emoji28][emoji28][emoji28] MerciLina damu?
Virginity ya kwio ina utata kwakuwa tobo hilohilo moja linatumika multiple
Uzazi
Mapenzi
Haja kubwa
Haja ndogo...
Yai ni product ya kukutana kimwili! Sasa haliwezi kuwa ndio limefungua njia.[emoji23]
3 bila now 😂👌Chelsea leo wanajipigia tu mtu hukoView attachment 2017559
Enjoy dogo 😂Leo tunakula vitamu tamu na watoto wenzangu ☺️☺️ baadae movie
Depal Saint Anne Karma Extrovert View attachment 2017628
Enjoy dogo 😂
pembeni 😅Leo tunakula vitamu tamu na watoto wenzangu ☺️☺️ baadae movie
Depal Saint Anne Karma Extrovert View attachment 2017628
Watoto wa kishua tumekutanaaa 😀😀😀😀Namuona mtoto mwenzio hapo
pembeni 😅