Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwa hiyo siku nikiselfika, utakuwa tayari kujitoa eeh?
Ndio waone sasa jinsi ilivyo rahisi ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko HS kuweka selfie[emoji38].

Hivi bado watu hawaoni tu kama kujitoa mimi jf haiwezekani!
Hivyohivyo HS kuweka picha yake.


Tuendelee kumtazamia Bwana wapendwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787] wanasema dar ukiwa na pesa uwezi ona joto. afu nimekumbuka unarudi lini nikipe i12 zako
Ni kweli kabisa.
Tusio na magari ndio tunapambana kugombania miendokasi

Walio na magari joto wanalisikilia wapi[emoji16]

Hizo earphone hadi nishachoka sasa,,kuna siku nilijipanga nije kuzichukua ukanipiga chenga.
 
.
20211103_061451.jpg
 
Back
Top Bottom