Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Karibu tena.
Usijali, let's make arrangement. Next Month nitakuwa huko tena.
Usijali, let's make arrangement. Next Month nitakuwa huko tena.
Nipo tayari[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukiweka picha yako basi najitoa.
umesahau kusema unapenda maparachichi we MwakianaMimi napenda sana hali yake ya hewa ila yenyewe hainipendi.
Asante jirani 🙏Karibu tena.
Tena mno, [emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa yaan, umejua kuchagua, nikiwa na trip ya home ntambebea mommah, tena liwe hivo hivo. [emoji7][emoji7]Asantee [emoji5]
Inabidi nitafute mengine niwe navaa mpaka nizoeleke [emoji16]
View attachment 2016655
Na maparachichi yananipenda sanaumesahau kusema unapenda maparachichi we Mwakiana
Bia hazijawahi nikolea kichwani,Hahahaha.......na ungekunywa Jana hadi ushindwe kutembea manake nilikuwa nimetoka kuuza Mpunga wangu kwa bei ya Christmas [emoji3][emoji123]
Yupo vizuri.The OG Blackcornshman aka mshua aka papa aka Baba.View attachment 2016683
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dota hebu niwache!
Eejooobhaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyie watatu eeh? Nitawasurprise, ole wenu mgome kuleft
Mzigo kama huu halafu ukute nguvu zako za kiume ni tia maji[emoji23]
Yupo vizuri.
Tuwekee sasa na yako.![]()
Happy Birthday son!.It's Mr. Scorpio's birthday today 🥳🥳View attachment 2016822