Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,510
- 235,214
..
Jiji lenye vumbiMbeya
Mbeya pazuri sana uwa najiskia raha sana nikiwa mbeyaJiji lenye vumbi
Mimi napenda sana hali yake ya hewa ila yenyewe hainipendi.Mbeya pazuri sana uwa najiskia raha sana nikiwa mbeya
Kazi yake Mungu [emoji3526][emoji3526]
Hahaha naipenda sana kuna mda uwa natamani dar ndo ingekuwa mbeyaMimi napenda sana hali yake ya hewa ila yenyewe hainipendi.
[emoji23]Hahaha naipenda sana kuna mda uwa natamani dar ndo ingekuwa mbeya
Haina makosaKazi yake Mungu [emoji3526][emoji3526]
Hahah!Mshana Jr [emoji23][emoji23][emoji23] kumbe mimi ndio naniliu na hata huniambii jamani
Dada puri una hips lako na la wenzio
Mie huyo jana tu niliotewa 😀😀😀Ha ha ha
Mbona sio wewe huyu jamani.