Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,857
Nimeacha...Usimwage mchele mbele ya kuku 😀😀😀😀😀
Nimeacha...Usimwage mchele mbele ya kuku 😀😀😀😀😀
Ule uzi niliuona tangu unaanza.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] muulize Saint Anne
Wadau walikutag kule,,ila nadhani hujapata notification maana walikosea kuandika.Mungu wangu hahaha[emoji23]
Nimeuona leo eti 😂Ule uzi niliuona tangu unaanza.
Nikacheka tu .
Kwani hakuona?Wadau walikutag kule,,ila nadhani hujapata notification maana walikosea kuandika.
Hizo sitiresi nitakuelekeza namna ya kuzitoaila hizi siku nimejikuta napenda movie sijui nimepatwa na nini ? nimeanza hadi kuingia century cinemax 😀😀😀
Dar nasweat kwenye mwendokasi hadi nawaza pengine hewa imefungwa haipo.Dar ndo nyoso
[emoji16]Nimeuona leo eti [emoji23]
Demiss mie jamani [emoji1787][emoji1787] mbona nimepotea hivi!!
Ungekuja kuzitoa na vifaa kazi ingependeza saidi 😌😌😌Hizo sitiresi nitakuelekeza namna ya kuzitoa
Eeh![emoji38]Kwani hakuona?
Pg 4 nahisi nimemuona analalamika [emoji23]
Ukinitumia kwa Kilimanjaro bus itapendeza [emoji3059]
Mada ipi Kati ya hizi?View attachment 2016514
NmekuonaUna utani wa ngumi mdogo wangu, muone kwanza [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nmekuona
KwakoWapi huko [emoji3064]