cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,106
- 181,180
Umemla nani huko ubungo?hahahahahah kwamba nimekua banned......kwangu sioni kitu nna kisa cha masihara nilitaka nikashee na wa dhambi wenzangu sioni kitu
.......Ambition Plus.View attachment 2007892
Kuna jamaa (a friend from Egypt) yupo hapahapa nchini ananiambia kwao ni kwa moto, Serikali inakusanya kodi ni balaa.Nikisema hapa wakulungwa watanishambulia.
La kwanza kabisa, jamaa wanalipa kodi na serikali imekuwa kali sana kwenye kodi. Marufuku kwa Egyptian kutumia foreign currency, Sisi huko tunaona sifa ukiwa na vijidola vyako.
Magufuli alipozipiga pini bureau de change kelele uliziskia bro. Kiufupi Tanzania ina fursa nyingi sana za kutoboa kabla serikali haijagangamala.
Wiii,Umeshindwa kusema ana tu lips flani![]()


Hatari ndugu.Kuna jamaa (a friend from Egypt) yupo hapahapa nchini ananiambia kwao ni kwa moto, Serikali inakusanya kodi ni balaa.
Anasema kwa Sasa kila mfanyabiashara anaangalia uwezekano wa kukimbia. Tatizo hajapata biashara nzuri ya kufanya hapa bongo. Alikuja na bio fertilizer zikamkata.
Huku kwetu wanataka eti watu wabembelezwe kulipa kodi.Hatari ndugu.
Lakini Egypt imeendelea huwezi kufananisha na nchi zetu hizi. Moja ya sababu ni kulipa kodi tu.
Sisi wabongo tukiongozwa na wapinzani wanaopingapinga kila kitu ni matatizo sana.
Nkitulia ntaweka baadhi ya risiti hapa. Kodi ni 27%
Unapembua weeee, Kisha unachangia kinachokufaaNimeshindwa kabisa kuelewa kinachoendelea humu!
Duuuh.Hatari ndugu.
Lakini Egypt imeendelea huwezi kufananisha na nchi zetu hizi. Moja ya sababu ni kulipa kodi tu.
Sisi wabongo tukiongozwa na wapinzani wanaopingapinga kila kitu ni matatizo sana.
Nkitulia ntaweka baadhi ya risiti hapa. Kodi ni 27%
HahahahaahahHuku kwetu wanataka eti watu wabembelezwe kulipa kodi.
Mikumi tena kwa mama.
Hahahahaahah
Hatari sana. Halafu dogo hivi unayo kadi ya UVCCM?? au unashangaa shangaa tu???



Mbona soda water iko juu ya meza? Toa ilo konyagi umeficha huko chini 🤣Depal nimepumzuka Gambe Kwa muda
View attachment 2008049
View attachment 2008051
View attachment 2008052