Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuanzia leo signature itakuwa Depal chamdeko
emoji769.png
😆😆
 
Siku nikiweka kapicha kangu humu, jiandae kutoka JF kabisa
Ndio waone sasa jinsi ilivyo rahisi ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko HS kuweka selfie[emoji38].

Hivi bado watu hawaoni tu kama kujitoa mimi jf haiwezekani!
Hivyohivyo HS kuweka picha yake.


Tuendelee kumtazamia Bwana wapendwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
View attachment 2006976
Hata kama mlinimiss ndiyo mnichinjiye Kuku mzima Wazee?[emoji39][emoji39][emoji39]

Wangekuwa rafiki zangu Heaven Sent na shostiake Depal wangeishia kula firigisi tu then wangesema wameshiba, Mimi huyo Kuku aliisha[emoji23][emoji23]
Angenishinda kwa sababu ya mchuzi, ila akiwa mkavu; unafanya kunitengea wawili kabisa
 
Back
Top Bottom