Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,541
- 88,492
Happy Birthday To Him
Happy Birthday To Him
Kumbe huyu ni mwingine!
Aisee


😆😆😆 Hiyo ni kesi kama ya ugaidi Tzeee ....itachukua muda mrefu sana kufikia muafaka.Unataka unikamate na kesi ya copyright infringement, siji..
Happy birthday janjaroo.
Ahhhhh hauko serious wewe 😬😬Nipo mnarani hapa, kwenye huu mnara wa simu, fanya kumtuma Dada H aje anichukue...
Nimevaa shati la maua maua.. kama vipi sogea mwenyewe unichukue..
Leo ndipo nitajua we ni mchoyo au la! Haiwezekani hbd usinialike...
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 eti hilo nalijua mimi 😆Kuna mtu kanielekeza, nimefika hapa kwenye hii nyumba ina geti la ku slide, toka basi ndani nipo hapa nje..
Suala la hamna party, unalijua wewe, siwezi toka hapa leo sijanywa mvinyo au beer...
Toka sasa ndani, usipokuja nitaruka ukuta..
Ni kweli kabisa.
Tusio na magari ndio tunapambana kugombania miendokasi
Walio na magari joto wanalisikilia wapi
Hizo earphone hadi nishachoka sasa,,kuna siku nilijipanga nije kuzichukua ukanipiga chenga.


sio chenga ndugu yangu shida ni kuwa kuna mda unakuwa offline ndo tulipokuwa tunapishanaA wapisio chenga ndugu yangu shida ni kuwa kuna mda unakuwa offline ndo tulipokuwa tunapishana

A wapi
Ulinipiga chenga.
Nilikufuata hadi Magomeni![]()

nyie nyie jamani nimekaa magomeni adi nimekaa nikasema niende zanguUlinichomesha mahindi hadi basi.nyie nyie jamani nimekaa magomeni adi nimekaa nikasema niende zangu
Pole shida mawasiliano mpendwa unakuja lini tena ?Ulinichomesha mahindi hadi basi.
Sina hamu.
Sitaki tena kuchomeshwa mahindiPole shida mawasiliano mpendwa unakuja lini tena ?
