Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,275
- 34,145
Ufanye na sisi tule vizuri basi😃😃Hapa nakula vizuri msosi
Ufanye na sisi tule vizuri basi😃😃Hapa nakula vizuri msosi
Ukipita tu ivi nakula na kushiba kwa amani 😍Haya ule kwa amani! Ukimaliza nakusubiri hapa upitee..
Tulieni kwanza
Hatutoki tupo hapaTulieni kwanza
Wacha weeeee🤩Na sisi Gen z tupate radha ya kipind hicho😃😃
Ndiyo mkuuWacha weeeee🤩
Una utani eeh😅Ukipita tu ivi nakula na kushiba kwa amani 😍
UpoMimi bado naedit hips maana moja kubwa jingine dogo, haya pita unatrendisha uzi!
Mashikolo mageni mageni,😃😃😃Mimi bado naedit hips maana moja kubwa jingine dogo, haya pita unatrendisha uzi!
Nipo makini sana🤸🏽♂️
Hahha uwee lazima mkia ulingane!😁Mashikolo mageni mageni,😃😃😃
Seran pita live basi , kuna vitu namisi kutoka kwako ujueMimi bado naedit hips maana moja kubwa jingine dogo, haya pita unatrendisha uzi!
Nitapita ukiwa sober😂Seran pita live basi , kuna vitu namiso kutoka kwako ujue
Siwataki🫢Utafute wajukuu sasa
Nooo nipo liveNitapita ukiwa sober😂