Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😂😂
Kwa hilo jicho nilipoliona tu nahisi kama una ile invisible influence...

Hata kama ni mie ungeniangalia ukanambia tuma na ya kutolea ni chap tu...

Uliisha ona ile filamu ya kuitwa dune ya 2021, kuna wale wanawake(Bene Gesserit )wana powers,The way wanaongea au kukuambia jambo can force anyone who listens to take any desired action.. we ni moja ya Bene Gesserit😂😂😂

Kama unabisha nipigie video call usiweke mask halafu niombe pesa kama sikutumii...
☺☺😁😁😁🤣

In that case basi naja ku-collect!!!! Fanya ku-share coordinates ASAP!!

Alafu usini-tempt wewe 🙄🤔 Nikikupigia nikakuomba alafu ukaninyima haki nakutambulisha kwa watu wasiojulikana....🤨 Don't say I didn't warn you😁😁

Naahhh....I haven't seen it ila naona kuna umuhimu wa kufanya hivyo baada ya maelezo yako. 🤓 Maybe ntachukua point mbili tatu za ku-win bingo without actually buying a lottery ticket 😁🙈
 
Kama sababu moja wapo ya kujiunga humu ni kupata maarifa sasa hilo jukumu ni langu la kukufundisha jinsi ya kuandika. Acha utoto hapa JF watu wanajielewa na hakuna anaeandika kitoto kama wewe.

Ndio mimi sikuogopi nakuchana ukweli jirekebishe andika vizuri kama mtu anaejielewa sio unaandika hovyo hovyo tu kama unaandikia watoto wenzako.

Jambo langu ndio hilo tu wala sina jingine. Rekebisha uandishi wako. Unakera, unaboa wala usifikiri watu wanapenda. Unajichoresha tu unavyoandika.
sasa sibadilishi ndo naandka iv iv, tena ntazidi kuongeza ili ukerekwe zaidi, na tuone utafanya nn.
Watu mmevurugwa na maisha, mnaona stress zenu ndo mpumzikie kwangu, msieeeeew, hovyoooh khaaaah
 
sasa sibadilishi ndo naandka iv iv, tena ntazidi kuongeza ili ukerekwe zaidi, na tuone utafanya nn.
Watu mmevurugwa na maisha, mnaona stress zenu ndo mpumzikie kwangu, msieeeeew, hovyoooh khaaaah
Acha utoto wewe. Usijichekeshe chekeshe kijinga jinga. Unaonekana waki tu. Endelea na ujinga wako. Stupid.
 
Acha utoto wewe. Usijichekeshe chekeshe kijinga jinga. Unaonekana waki tu. Endelea na ujinga wako. Stupid.
Kwan unataka nijilize lize kipumbavu? Ukijiliza wee inatosha sana, huo utoto na u waki naonekana mie, mbna sasa wee ndo unaumia?

Ujinga 4 life, haya relaaaaax. Nyokooooooh
 
[mention]cocastic [/mention] na [mention]Chaliifrancisco [/mention] njooni tunywe bia
Nakuja dea, ila huyu kiumbe leo kaamka na mie, cjui anakwama wapi hata, maan viumbe wengine humu wasipo gombana na mie hawajiskii ahuen, cjui wakoje.
 
Back
Top Bottom