🤣🤣🤣
Ya nini kujinyima oxygen bure, ujue wakati unasoma unahitaji oxygen kwa wingi, ujue ubongo unatumia almost robo ya oxygen yote mwilini...
We hio mask kavae kwenye public transport 😂😂
=============================
Malware zipo zinauzwa dark web huko...
Hacking trick nyengine.... wifi hotspot za bure...
Ujue unapotumia wi-fi ya mtu ujue kila kitu na taarifa zote, takataka zote zinapita kwenye kifaa anachotumia kukupatia wi-fi..
Web traffic yote mtu anaweza kutizama na kufahamu kila unachofanya..
Mfano nikienda zangu pale posta, kama kuna mtu au office fulani nawatafuta, naweza kupaki gari nje ya office umbali hata wa meter kadhaa, nikafungulia router powerful na internet yenye kasi, wabongo wengi hakuna kitu tunapenda kama mtelezo, mtu anaona hii wifi ipo open hapo hapo ana connect.. anaona speed inasoma 2mb/sec anasema mungu anipe nini mimi?!🤣😂😁
Hio inaitwa man in the middle attack, hapo ku akuwa na mtu wa kati ambae anaingilia mawasilano kati ya sehemu mbili, either client na client au client na server... client na server/client wakijua kwamba ni wao wanawasiliana... they are directly talking to each other kumbe no!!
Wakati kila mawasiliano yote anayaendesha mtu wa kati... licha ya kuingilia tu mawasiliano nakuwa na uwezo wa kuingiza messages zangu binafsi kwa target yangu, mfano mtu anajua anachat na boss wake halafu katikati ya chatting na inject message "nipatie logins za instagram acc ya kampuni" au "hey lizzy samahani hebu tuma kiasi fulani kwa acc no hii" let say mpo kwenye hizi messaging app or whatever..
Mtu wa kati anakuwa na asilimia 90 za kukuhack.. yaani nina impersonates side zote 2 vizuri zaidi, najifanya boss wa kampuni kwako halafu kwa boss najifanya ni mfanyakazi, nawavuruga mpaka baas, ikiwezekeana nakutongoza humo humo ili ufunguke zaidi mfano "ujue nakuelewaga sana.... blah blah"😂🤣🤣 halafu nakupiga sasa "hebu nitumie.1....2....3" hapo wewe huamini kama boss amekutongoza, kumbe ni mshenzi anakuchezesha na false messages...😂😁😂🤣
Thats why kuna website nowdays wana encrypt na kuna kitu kinaitwa https, http over ssl/http over tsl, http inakuwa encrypted kutumia ssl au tsl, kwa sasa ni ssl...
Ina secure communication ili kujilinda dhidi ya man in the middle attack...
Hata whatsapp na messaging apps nyingi wana encrypt taarifa zako zote, ile end to end encryption...
Kama ni website za manunuzi mtu akijua logins zako basi anakuibia, thats why browser siku hizi isipokuwa na ssl, basi kuna warning wanakupa kwamba you are not safe... nitakuonesha mfano nikiwa karibu na pc...
Ngoja nikuachie hapo nisiende deep kwenye DNSSEC, HPKP unajua superfish?
😁😁😁
Tuweni makini, SSL sasa zinadukuliwa vizuri tu na kuna tools nyungi za ku decrypt...
Sasa changia basi kiduchu nikupe full course!! 🤣🤣