Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,844
- 52,251
Mambo yananibana.
Nikirudi nitawatafuta tena marafiki zangu wacheshi
ISO M.CodD haupo Mbeya niombe lift?
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na mambo wewe njoo tupige Vyombo
Mambo yananibana.
Nikirudi nitawatafuta tena marafiki zangu wacheshi
ISO M.CodD haupo Mbeya niombe lift?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mbona nshaweka nyingi tu nmegeuka.Ngojea hapohapo mkuu.
Ukiwa tayari umeweka picha uliyogeuka.
Achana na mambo wewe njoo tupige Vyombo



Kama ni zile ulizoweka emoj hauonekani vizuri.Hahaha mbona nshaweka nyingi tu nmegeuka.
Sijawahi ona mbona.Kama ni zile ulizoweka emoj hauonekani vizuri.
Sura nzima umejaza emoji jamani.
Mimi nilishaweka picha nzima humu na sijafuta.
Hebu weka tuone.Sijawahi ona mbona.
Mi zangu mboni siwekagi emoj.labda umenifananisha mkuu
Zitafute mbona zipo nying tu.Hebu weka tuone.
Nilizoziona moja ni ya t-shirt na jeans,nyingine imejaa emoji usoni.Zitafute mbona zipo nying tu.





Yes Nethunter naitumia kwenye android mkuu. Hizo tools nyingine za Linux nazirun kwa termux ambayo ni kali portal ya android mkuuSome tools.....
Hcxdumptool
Hcxpcaptool
Hashcat
Hashcat na aircrack zote zipo vizuri mkuu..
Hio Nethunter kwenye android penetration ipo good sana...
Hapana si kweli mkuuNilizoziona moja ni ya t-shirt na jeans,nyingine imejaa emoji usoni.
Indeed wonderful
Acha kujichekesha kiwaki. Kikubwa acha utoto mkuu. Jirekebishe acha tabia za kishamba. Unajichoresha tu. Acha ushamba wako.



kna kitu unatafuta wee Co buree, now skujibu tena,Hakika kabisaa,Relax
Neno lisipopata nyongeza hufikia tamati
Zote nakuja kuchukua,Na ile sports car m mjukuu