Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Honestly speaking nimemiss kusoma.

Nimemiss me na shost angu tulivyokuwa tunaenda jificha madarasa ya watu wa masters tunasoma 'BTW haikuwa msuli ule wa Joni kisomo... Tukitoka tunashtua crew tukazurule clubs

Nimemiss kudoji vipindi vya lecturers wapole... Nilikuwa doja mpk sister alinipa mawaidha ' class yetu tulibarikiwa kusoma na sister ( RC nun

Nimemiss lecture theater 6
Nimemiss free WiFi ya library
Nimemiss kuchill vibetwa..
Nimemiss kula chips na malinjirinji...
Nimemiss kuandika chabo za LAWS mapajani muda wa kukariri zile Acts sikuwahi kuwa nao.

Shortly nimemiss shule
Tubadilishane bas cc, kusoma mchezo? Miaka na iende jomonee, khaaaah
 
Nimekumbuka semester ya mwanzo ya mwaka wangu wa mwisho,1st week,1st day mwalimu alitoa assignment tena anataka ya kuandika kwa mkono.,aliingia darasani kulikuwa na Watu wachache,alivyomaliza kufundisha ndio akatoa kazi.
Na ilikuwa kesho yake anaikusanya darasani Muda wa kipindi chake..Yaani anaikusanya kwa Mtu mmoja mmoja.
Napigiwa simu sina hili wala lile,nipo mbeya hata nauli ya kwenda chuo sijatafuta.

Kesho yake darasa lilifurika,Yaani tuliwatuma madogo wa 1st year walijaa darasani wanakula pindi na kutukusanyia kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
chezea chuo weyeeeh, lol
 
Hii assignment'Bsness plan imenikumbusha nilivyofata desa UDOM na nikaja ambulia 5/10

Ilikuwa tunaandika idea unampelekea, ukipeleka anakwambia this is taken katafute nyingine. Alitusumbua sana mpk tukahisi kaokota mtaji anatafuta ideas mbali mbali.
mbavu zangu mie khaaah
 
Nimeandika sana tu za LAW kilinitisha first test napata 3/15 nikaona mbona hapa pagumu? Individual assignment karibu class zima tuna 1/10
Nikiangalia nina LIFO na FIFO zinanisubiri 'hizi huwezi ingia na desa.

Nikachagua Law ya kudesea, mapaja yana rangi cha nini kujitesa na nina ubao natembea nao.
skuwez wee cc, hapa mbavu cna mie lol
 
Mwanafunzi bora. It depends na class paper inafanyikia, lecture theater na ule mpangilio wa viti kuibia utakamatika maana unakuta wasimamizi ni 2+

Ila hizi class 'kama uliyopost nikikaa nikapandisha skirt nani atajua? Na msimamizi ni 1
yaan wee cc n kibokoooh lol
 
Fuatilia hiyo post ya Mshana niliyoikwoti. Tigo wanatoa siri zote za mteja (kama wanavyofanya kwenye kesi ya Mbowe). Baadhi ya watu wanaachana na Tigo kwa sababu hiyo. Hiyo katuni ya Kingo nadhani inaelezea suala hilo hilo...


View attachment 1998519
Mzee shibisha nafsi
JamiiForums-132228672.jpg
 
Mimi dhambi nachagua
Hata yeye alijua kabisa tumemdanganya maana alitujua kwa sura,kutokana na uchache wetu kwenye hiyo course yake na akafanya fair.
Halafu assignment nilifanya mwenyewe,pale nilisaidiwa tu kuandikiwa na kukusanyiwa.


Level ya kuingia na karatasi kwenye mtihani aisee sikuifikia na sijaifikia Bado.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inahitaji ujasiri sana, sikuwahi kuweza na sidhani kama nitakuja kuweza.
 
Back
Top Bottom