Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulikuwa unaandika nondo??? Legendary Depal Umenishinda tabia,, nikijenga hall of fame jina lako lazima liwepo
Nimeandika sana tu za LAW🤣🤣 kilinitisha first test napata 3/15 nikaona mbona hapa pagumu? Individual assignment karibu class zima tuna 1/10
Nikiangalia nina LIFO na FIFO zinanisubiri 'hizi huwezi ingia na desa.

Nikachagua Law ya kudesea, mapaja yana rangi cha nini kujitesa na nina ubao natembea nao. 🤣🤣🤣🤣
 
Nimeandika sana tu za LAW[emoji1787][emoji1787] kilinitisha first test napata 3/15 nikaona mbona hapa pagumu? Individual assignment karibu class zima tuna 1/10
Nikiangalia nina LIFO na FIFO zinanisubiri 'hizi huwezi ingia na desa.

Nikachagua Law ya kudesea, mapaja yana rangi cha nini kujitesa na nina ubao natembea nao. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Katika vitu sijawahi maishani ni pamoja na kujiandika mwilini,ama kuingia na karatasi.
Na nadhani siku ambayo ningejaribu,ndiyo siku ningekamatwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeandika sana tu za LAW[emoji1787][emoji1787] kilinitisha first test napata 3/15 nikaona mbona hapa pagumu? Individual assignment karibu class zima tuna 1/10
Nikiangalia nina LIFO na FIFO zinanisubiri 'hizi huwezi ingia na desa.

Nikachagua Law ya kudesea, mapaja yana rangi cha nini kujitesa na nina ubao natembea nao. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Among kitu naogopa ni kuwa na nondo yoyote
 
Mwanafunzi bora. It depends na class paper inafanyikia, lecture theater na ule mpangilio wa viti kuibia utakamatika maana unakuta wasimamizi ni 2+

Ila hizi class 'kama uliyopost [emoji23] nikikaa nikapandisha skirt nani atajua? Na msimamizi ni 1
Sasa hizi people UE class kama hzo ni wasimamiz 3 and lecture theaters ni 6,,, wanafanya patrol kama coplo wa zamu
 
Back
Top Bottom