Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Na huwa wanadakwa kweli, mwingine mwaka wa mwisho kabisa
Kuna kaka lecturer alikuwa anatusisitiza sana mwaka wa mwisho, anasema somo lake ni gumu,,ni bora tukarudi kufanya sup kuliko kuja kukamatwa na desa mwaka wa mwisho.

Si ajabu Unakuta somo lenyewe mtu angefaulu vizuri tu bila karatasi.

Kuna wale pia wa formation zao
Wamejipanga kimkakati aisee,watu ni majasiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna dogo alidakwa halafu mwaka wa mwisho, alilia kama mtoto. Akawa anasema wazazi wake wameteseka sana kumsomesha kwa taabu na ni masikini yeye ndio wanamtegemea maana kwenye familia nzima yeye ndio ana unafuu. Lakini mwalimu hakumuelewa, haki niliumiaaaa.

Tunamuuliza, "kama unayajua hayo ni kwanini uingie na karatasi?" akawa anamlaumu tu shetani. Ikawa ndio basi tena!
 
giphy.gif
 
Kabla ya kufanya maamuzi ya kuingia na karatasi inabidi tu kuwaza kwamba lolote linaweza kutokea.

Mimi nilikuwa nawaza jinsi wazazi wanavyopata tabu kutafuta ada,imagine udisco.

Huyo dogo analia utadhani mwanzo hakujua kama kwao hawana uwezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom