Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,608
- 24,195
Naomba unielekeze program hiyo [emoji17].
Nilifanya Detox ya mboga za majani na matunda for ten days nilivyomaliza nikawa nashindwa kula chakula kingi na hamu ikakata mpaka sasa hivi
Naomba unielekeze program hiyo [emoji17].
Eeh mwaka juzi ulikua mwaka wa kwanza?Yaani mchumba acha tu.
Nilitamani kupanda hakuna kulala mchana ili Kesho asubuhi niwe nimefika Dodoma.
Yule mwalimu siji kumsahau.
Na assignment yake hiyo aliihesabia Kwenye coursework.
Ilikuwa bahati hiyo siku anakusanya Kazi hakukagua ID[emoji16]
Ilikuwa mwakajuzi tu,kweli miaka inaenda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh mchumba [emoji23]
Ni shabiki yanga na CCM[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulikuwa unaandika nondo??? Legendary Depal Umenishinda tabia,, nikijenga hall of fame jina lako lazima liwepoHonestly speaking nimemiss kusoma.
Nimemiss me na shost angu tulivyokuwa tunaenda jificha madarasa ya watu wa masters tunasoma 'BTW haikuwa msuli ule wa Joni kisomo... Tukitoka tunashtua crew tukazurule clubs [emoji41]
Nimemiss kudoji vipindi vya lecturers wapole... Nilikuwa doja mpk sister alinipa mawaidha ' class yetu tulibarikiwa kusoma na sister ( RC nun
Nimemiss lecture theater 6 [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimemiss free WiFi ya library [emoji39]
Nimemiss kuchill vibetwa..
Nimemiss kula chips na malinjirinji...
Nimemiss kuandika chabo za LAWS mapajani [emoji38] muda wa kukariri zile Acts sikuwahi kuwa nao.
Shortly nimemiss shule [emoji7]
Tumepewa assignment ya kuandika business plan,, sasa najiuliza biological science na entrepreneurship wapi na wapi[emoji848][emoji848] bado cjapata jibuNilikwenda kusoma mahali aisee siku ya kwanza tu darasani bonge la homework tena ngumu kweli kweli. Nilishangaa sana lakini kumbe ndo utaratibu wao. Hakuna kupoteza muda!
Daaaamn,, hail to the saint [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimekumbuka semester ya mwanzo ya mwaka wangu wa mwisho,1st week,1st day mwalimu alitoa assignment tena anataka ya kuandika kwa mkono.,aliingia darasani kulikuwa na Watu wachache,alivyomaliza kufundisha ndio akatoa kazi.
Na ilikuwa kesho yake anaikusanya darasani Muda wa kipindi chake..Yaani anaikusanya kwa Mtu mmoja mmoja.
Napigiwa simu sina hili wala lile,nipo mbeya hata nauli ya kwenda chuo sijatafuta[emoji1787].
Kesho yake darasa lilifurika,Yaani tuliwatuma madogo wa 1st year walijaa darasani wanakula pindi na kutukusanyia kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuone kunanini ndani
Hii assignment'Bsness plan imenikumbusha nilivyofata desa UDOM na nikaja ambulia 5/10 😂Tumepewa assignment ya kuandika business plan,, sasa najiuliza biological science na entrepreneurship wapi na wapi[emoji848][emoji848] bado cjapata jibu
Mapindi siku za mwanzo kawaida tu.Daaaamn,, hail to the saint [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyama ya kusaga + spices 'jana niliziweka hapa.Tuone kunanini ndani
Katika vitu simple kupika ni sambusa ukiondoa kuchemsha chai 🤣
Ni aibu mno,Katika vitu simple kupika ni sambusa ukiondoa kuchemsha chai [emoji1787]