Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,223
Poleni 🤣Hii department hainaga hyo na 3/4 wana full or partial blindness,,, wakitoa CA huwaoni chuo,, yaaan utazunguka had mwisho wa dunia
Poleni 🤣Hii department hainaga hyo na 3/4 wana full or partial blindness,,, wakitoa CA huwaoni chuo,, yaaan utazunguka had mwisho wa dunia
Hao wengine wanakujaga na kuondoka, na kuna yule anayejipitisha dirishani 😂Sasa hizi people UE class kama hzo ni wasimamiz 3 and lecture theaters ni 6,,, wanafanya patrol kama coplo wa zamu
Ni shughuli,,, unaweza ukaenda unalia machozi ya damu na ukakaziwa vle vlePoleni![]()
Ndio elimu yetuWana sifa![]()

.Hao wengine wanakujaga na kuondoka, na kuna yule anayejipitisha dirishani![]()
Somo la timing nahisi nilifaulu


naomba uanzishe uzi wa material hayoNdio elimu yetu
Halafu kuna watu wanasema degree ni karatasi tu..akachukue lake kama anadhani karatasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
huwa nawaambia wakaprint yakwaoBora niingizwe nyavuni kuliko niingie na karatasi ama nijiandike mwilini.Kushikwa nako ni uzembe mwingine.
Wizi nimeiba cha nani pale? September conference za kujitakia za nini na possible ways zipo
🤣🤣🤣🤣🤣Bora niingizwe nyavuni kuliko niingie na karatasi ama nijiandike mwilini.
Ule ni udanganyifu, udanganyifu ni dhambi.
Dah nilivyokuwa muoga yaani wangenishika mapema.
Na wanaokamatwaga ni wale wanaojaribu,,ila wale maexpert wanapeta tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu wetu sote,pambaneni mtamaliza.huwa nawaambia wakaprint yakwao
Mtu mwaka wa 3,4,5 anadisco kisa tu amekamatwa na karatasi.


Na assignment ulofanyiwa na ukamdanganya mwalimu kwa kukusanyiwa na first year je? Anne usichague dhambiMtu mwaka wa 3,4,5 anadisco kisa tu amekamatwa na karatasi.
Sasa si Bora tu kurudi kufanya supp.
Karatasi inamdanganya msimamizi,pia na Mungu ..maana ulimuomba Mungu akusaidie ufaulu na maombi yalikuwa Roho mtakatifu akukumbushe,na wala si kuibia.
Ukiibia unamsaliti hadi Roho mtakatifu
Haya mahubiri tulikuwa tunapewa ibada ya J2 ya mwisho kabla ya kuingia UE.
Sent using Jamii Forums mobile app





utoto bhana,, nlizitumia once but sijawah kuziacha anywhere naenda na sizitumii
View attachment 1998825Mimi dhambi nachaguaNa assignment ulofanyiwa na ukamdanganya mwalimu kwa kukusanyiwa na first year je? Anne usichague dhambi![]()

Nunua manda ya Bakhressa chap sambusa hizo ...Ajitolee mtu jamani anifundishe kwa vitendo.
Mama mkubwa kama mimi sijui namna ya kupika sambusa,ni fedheha sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora atengeneze zake,, za bakhresa laini sanaNunua manda ya Bakhressa chap sambusa hizo ...
Yeah kama anaweza atengeneze ..Bora atengeneze zake,, za bakhresa laini sana
Ahaaaaaaaaa kumbeeeeYeah kama anaweza atengeneze ..
Huwa nazitumia hazisumbui na sambusa inatoka vizuri , ukishatoka kuzinunua inabidi uweke ziyeyuke kwanza ili ziwe ngumu kidogo .
YesAhaaaaaaaaa kumbeeee
Mimi natamani nitengeneze mwenyeweNunua manda ya Bakhressa chap sambusa hizo ...
Haya