Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Unajua bhana , naonaga selfie za pilau zako ..

mimi mwenyewe begginer, natamani niende hata cooking class nipate maarifa zaidi .

Insta na YouTube zinatosha tu unakuwa unajipikilisha ukipata time

Jana nimekopy recipe kwa shuna’s kitchen Ila nikaongeza spices ilikuwa so yummy
IMG_1844.jpg
 
Back
Top Bottom