Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,608
- 24,195
Dodoma nyumbani au kwa barafu wa moyo?
[emoji28][emoji28][emoji28]
Barafu wa Moyo[emoji2][emoji2]
Dodoma nyumbani au kwa barafu wa moyo?
[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1998280
mpk likizo iishe nipo Tukunyema[emoji24][emoji24]
Naomba unielekeze program hiyo [emoji17].na hapo nitakula lisaa nitazunguka wee nijitahid kumaliza.
kuna kaprogram nilifanya kamenikata hamu ya kula mnoo
Honestly speaking nimemiss kusoma.Watatuua huu mwaka,, first week na lectures za kufa mtuView attachment 1998396
Kuisafiria raha , enjoyBarafu wa Moyo[emoji2][emoji2]
Nilikwenda kusoma mahali aisee siku ya kwanza tu darasani bonge la homework tena ngumu kweli kweli. Nilishangaa sana lakini kumbe ndo utaratibu wao. Hakuna kupoteza muda!Watatuua huu mwaka,, first week na lectures za kufa mtuView attachment 1998396
Mnyama wa next level[emoji3514][emoji3514]View attachment 1998400View attachment 1998401
Fuatilia hiyo post ya Mshana niliyoikwoti. Tigo wanatoa siri zote za mteja (kama wanavyofanya kwenye kesi ya Mbowe). Baadhi ya watu wanaachana na Tigo kwa sababu hiyo. Hiyo katuni ya Kingo nadhani inaelezea suala hilo hilo...Duh! Maana?
Niki'ref kile kibonzo chako, means tigo wanatuchungulia 🤣 dah!Fuatilia hiyo post ya Mshana niliyoikwoti. Tigo wanatoa siri zote za mteja (kama wanavyofanya kwenye kesi ya Mbowe). Baadhi ya watu wanaachana na Tigo kwa sababu hiyo. Hiyo katuni ya Kingo nadhani inaelezea suala hilo hilo...
View attachment 1998519
AbeeDepal
Nimekumbuka semester ya mwanzo ya mwaka wangu wa mwisho,1st week,1st day mwalimu alitoa assignment tena anataka ya kuandika kwa mkono.,aliingia darasani kulikuwa na Watu wachache,alivyomaliza kufundisha ndio akatoa kazi.Watatuua huu mwaka,, first week na lectures za kufa mtuView attachment 1998396
Ndiyo. Hawatunzi siri!Niki'ref kile kibonzo chako, means tigo wanatuchungulia [emoji1787] dah!
Ahaaa mchumba[emoji28]Nimekumbuka semester ya mwanzo ya mwaka wangu wa mwisho,1st week,1st day mwalimu alitoa assignment tena anataka ya kuandika kwa mkono.,aliingia darasani kulikuwa na Watu wachache,alivyomaliza kufundisha ndio akatoa kazi.
Na ilikuwa kesho yake anaikusanya darasani Muda wa kipindi chake..Yaani anaikusanya kwa Mtu mmoja mmoja.
Napigiwa simu sina hili wala lile,nipo mbeya hata nauli ya kwenda chuo sijatafuta[emoji1787].
Kesho yake darasa lilifurika,Yaani tuliwatuma madogo wa 1st year walijaa darasani wanakula pindi na kutukusanyia kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mchumba acha tu.
Kuisafiria raha , enjoy