Omerta
JF-Expert Member
- Jan 3, 2016
- 6,156
- 7,807
😅😅😅 Hii imenikumbusha baadhi ya fine ladies out there.
😅😅😅 Hii imenikumbusha baadhi ya fine ladies out there.
Kumbe kwenye vinywaji ndo kupo hivi?
Hiyo kwenye kachupa hapo inaitwaje asee???
Kuna sauce moja nilikulaga ugenini nikaona aibu kuiulizia yani nimeisaka mpaka kichwa kinauma .....naambulia tu mapilipili..hiyo kama imefanana nayo hivi