Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwa kweli Azimio na lidumu. It is well ankal

(Ujue jambo la huzuni lakini unanichekesha pia, bado unaongea mwenyewe?)
Yale machungu bado namuomba Mungu aniwezeshe kusamehe. Kila nikikumbuka, lazima niongee peke yangu.

Sijakuzaa tena Ankal, hata hivyo si tulifikia Azimio la Mji Kasoro Machinga kuzaana tumesitisha?

View attachment 1987957
 
Nimegundua kinachowaponza wanaume wengi ni kukariri maisha! Kwamba hakuna mwanamke anayeweza kuvumilia shida kwa muda mrefu!

Kuna jamaa alifanya huo huo mchezo kama wa bro wako! Anatafuta mwanamke wa kuoa akashauriana na washikaji zake kwamba akipata mchumba afiche mali zake zote ajifanye masikini ili ampime!

Kweli alipata mchumba yule dada alikuwa na maisha ya kawaida tu muajiriwa ana kamshahara kake ka kawaida tu kapanga vyumba viwili maisha yanasonga. Jamaa alikuwa na majumba na magari mengine ya urithi.

Basi wakaanza mahusiano dada siku zote anajua mpenzi wake ni masikini anafanya kazi za saidia fundi anaishi kwenye kaghetto tu. Ila alimpenda na alimheshimu hivyo hivyo na siku zote alikuwa willing kumsaidia na hakuwahi lalamika.

Imepita miezi sita jamaa na washikaji zake wameshajiridhisha wakakubaliana kwamba hapa sasa mke kapatikana. Cha msingi amuambie ukweli wote na nia yake ya kufanya vile kisha ampropose amvishe pete na mchakato wa ndoa uanze.

Kweli wakapanga mfanyia surprise siku ya siku wameandaa bonge la party kwa ajili ya proposal tu tumia gharama nyingi sana ita ndugu na jamaa kama wote. Mdada kufika pale anaona hali haielewielewi ghafla anamuona bwana wake kavaa kidon don halafu mambo ya kifahari kama yote nini.

Jamaa kabla ya zoezi la kuvisha pete ikabidi aanze kujielezea kwanza kuwa oo sijui unajua mimi siko kama nilivyojitambulisha kwako nilifanya vile ili sijui nipate mke mwenye mapenzi ya kweli blah blah kikaenda kikarudi kikapanda kikashuka. Wakajua mchumba atafurahia na mapenzi ndiyo yataongezeka maradufu.

Cha ajabu walishangaa yule dada alichukia na bila kujibu kitu pale pale akaondoka watu wanashangaa kulikoni ikabidi waanze kumfukuzia wakamkosa na sherehe ikaishia hapo. Baadaye jamaa kumtafuta kwenye simu akaomba wakutane amueleze kwanini alifanya vile dada akaanza kufunguka.

Oo unajua mimi maishani mwangu sikuwahi tamani kuwa na mwanaume mwenye pesa hasa ambaye nimemkuta nazo kwa sababu wanaume wenye pesa huwa hawana mapenzi ya kweli. Wengi wahuni na wanamchukulia mwanamke kama chombo cha starehe tu na hata wakioa wanaoa kama geresha tu ila huko nje kuna kuwa na msururu wa wanawake na wote kawazalisha.

Akamuambia mimi nilikupenda sababu ya umasikini wako na nilidhani wewe ni masikini kweli na nilikuwa tayari mimi na wewe tuanze wote from the scratch. Ili mwisho wa siku usije ukaanza kunidharau na kusema kwamba sina msaada kwako maana nimekukuta una kila kitu.

Basi ndiyo mapenzi yakawa yameishia hapo na yule dada alikuwa serious kabisa jamaa hakuamini. Halafu ukicheck jamaa alikuwa kafa kaoza maana alikuwa ashahitimisha zoezi la kutafuta mke akijua sasa hapo kinachosubiriwa ni ndoa tu kwa wakati huo hakuna mwanamke aliyekuwa anampenda kama huyo japo alikuwa na vimichepuko kama vyote.

Lakini vile vimichepuko vilikuwa ni vya kupiga na kusepa tu maana alishajua vimempendea pesa zake ila huyu mama la mama ndiye alikuwa kwenye plans zake sema ndiyo hivyo tena. Basi jamaa jitetea jitetea na wewe omba msamaha sana ila wapi ndiyo ikawa imeisha hiyo hadi leo anaumia na hajaoa.

Kwahiyo msikariri kwamba wanawake wote wanapenda wanaume wenye pesa tu wengine wanahitaji mapenzi ya kweli tu pesa mtatafuta wote. Maana wanawake wengi tunajua kuwa pesa na mapenzi ya kweli havishabihiani hivyo kuna wataochagua mapenzi ya kweli na kuna wale wenzangu na mimi waliokunywa uji wa wagonjwa wao ni pesa 'mbere' mapenzi ya kweli bakini nayo watayapata mbinguni kwa baba.

Ila dunia hii yaani hata mimi nilipigwa na butwaa kiukweli nilidhani nimeshasikia yote hadi nilipokuja kusimuliwa hicho kisa na aliyenisimulia ni rafiki yangu ambaye aliujua mchezo mzima na alikuwepo kwenye hiyo party ni ndugu wa huyo jamaa! Ila daah siku hizi mapenzi hakuna aisee hata hao wanaume masikini wenyewe nao wana misururu traffic anasubiri acheni tu wanawake waangalie mifuko jamani maana hayo mapenzi ya kweli hayako tena kila mtu msaliti!

Waliokunywa uji wa wagonjwa .
Huyo dada nimemuelewa pia
 
Kusema ukweli mi mwenyewe I wouldn't appreciate ishu za kufanyiana maigizo.

I mean wote tukianza kufanyiana maigizo itakuwaje??? Mi nimpime yeye....na yeye anipime mimi alafu mwisho wa siku kila mmoja anakuwa ame-fall with a slightly false version of the other.😏😏
 
Nyakati za huzuni,furaha
Zote unanipa amani

Milimani mbondeni
Kote unakuwa nami

Nchi ya ahadi ni nzuri imejawa na asali
Mwisho wa njia ni mzuri kuliko mwanzoni
Wa kunifikisha pale ni wewe Bwana..

Ni wewe Bwana
Ni weweee

Mathias walichupa_Ni wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
This is my song siku mbili tatu hizi njia nzima .. very courageous song
 
Kusema ukweli mi mwenyewe I wouldn't appreciate ishu za kufanyiana maigizo.

I mean wote tukianza kufanyiana maigizo itakuwaje??? Mi nimpime yeye....na yeye anipime mimi alafu mwisho wa siku kila mmoja anakuwa ame-fall with a slightly false version of the other.😏😏
Mwisho wa siku ni dabiliudabiliuu doti mpimano doti komu
 
FB_IMG_1635303673881.jpg
 
Nimegundua kinachowaponza wanaume wengi ni kukariri maisha! Kwamba hakuna mwanamke anayeweza kuvumilia shida kwa muda mrefu!

Kuna jamaa alifanya huo huo mchezo kama wa bro wako! Anatafuta mwanamke wa kuoa akashauriana na washikaji zake kwamba akipata mchumba afiche mali zake zote ajifanye masikini ili ampime!

Kweli alipata mchumba yule dada alikuwa na maisha ya kawaida tu muajiriwa ana kamshahara kake ka kawaida tu kapanga vyumba viwili maisha yanasonga. Jamaa alikuwa na majumba na magari mengine ya urithi.

Basi wakaanza mahusiano dada siku zote anajua mpenzi wake ni masikini anafanya kazi za saidia fundi anaishi kwenye kaghetto tu. Ila alimpenda na alimheshimu hivyo hivyo na siku zote alikuwa willing kumsaidia na hakuwahi lalamika.

Imepita miezi sita jamaa na washikaji zake wameshajiridhisha wakakubaliana kwamba hapa sasa mke kapatikana. Cha msingi amuambie ukweli wote na nia yake ya kufanya vile kisha ampropose amvishe pete na mchakato wa ndoa uanze.

Kweli wakapanga mfanyia surprise siku ya siku wameandaa bonge la party kwa ajili ya proposal tu tumia gharama nyingi sana ita ndugu na jamaa kama wote. Mdada kufika pale anaona hali haielewielewi ghafla anamuona bwana wake kavaa kidon don halafu mambo ya kifahari kama yote nini.

Jamaa kabla ya zoezi la kuvisha pete ikabidi aanze kujielezea kwanza kuwa oo sijui unajua mimi siko kama nilivyojitambulisha kwako nilifanya vile ili sijui nipate mke mwenye mapenzi ya kweli blah blah kikaenda kikarudi kikapanda kikashuka. Wakajua mchumba atafurahia na mapenzi ndiyo yataongezeka maradufu.

Cha ajabu walishangaa yule dada alichukia na bila kujibu kitu pale pale akaondoka watu wanashangaa kulikoni ikabidi waanze kumfukuzia wakamkosa na sherehe ikaishia hapo. Baadaye jamaa kumtafuta kwenye simu akaomba wakutane amueleze kwanini alifanya vile dada akaanza kufunguka.

Oo unajua mimi maishani mwangu sikuwahi tamani kuwa na mwanaume mwenye pesa hasa ambaye nimemkuta nazo kwa sababu wanaume wenye pesa huwa hawana mapenzi ya kweli. Wengi wahuni na wanamchukulia mwanamke kama chombo cha starehe tu na hata wakioa wanaoa kama geresha tu ila huko nje kuna kuwa na msururu wa wanawake na wote kawazalisha.

Akamuambia mimi nilikupenda sababu ya umasikini wako na nilidhani wewe ni masikini kweli na nilikuwa tayari mimi na wewe tuanze wote from the scratch. Ili mwisho wa siku usije ukaanza kunidharau na kusema kwamba sina msaada kwako maana nimekukuta una kila kitu.

Basi ndiyo mapenzi yakawa yameishia hapo na yule dada alikuwa serious kabisa jamaa hakuamini. Halafu ukicheck jamaa alikuwa kafa kaoza maana alikuwa ashahitimisha zoezi la kutafuta mke akijua sasa hapo kinachosubiriwa ni ndoa tu kwa wakati huo hakuna mwanamke aliyekuwa anampenda kama huyo japo alikuwa na vimichepuko kama vyote.

Lakini vile vimichepuko vilikuwa ni vya kupiga na kusepa tu maana alishajua vimempendea pesa zake ila huyu mama la mama ndiye alikuwa kwenye plans zake sema ndiyo hivyo tena. Basi jamaa jitetea jitetea na wewe omba msamaha sana ila wapi ndiyo ikawa imeisha hiyo hadi leo anaumia na hajaoa.

Kwahiyo msikariri kwamba wanawake wote wanapenda wanaume wenye pesa tu wengine wanahitaji mapenzi ya kweli tu pesa mtatafuta wote. Maana wanawake wengi tunajua kuwa pesa na mapenzi ya kweli havishabihiani hivyo kuna wataochagua mapenzi ya kweli na kuna wale wenzangu na mimi waliokunywa uji wa wagonjwa wao ni pesa 'mbere' mapenzi ya kweli bakini nayo watayapata mbinguni kwa baba.

Ila dunia hii yaani hata mimi nilipigwa na butwaa kiukweli nilidhani nimeshasikia yote hadi nilipokuja kusimuliwa hicho kisa na aliyenisimulia ni rafiki yangu ambaye aliujua mchezo mzima na alikuwepo kwenye hiyo party ni ndugu wa huyo jamaa! Ila daah siku hizi mapenzi hakuna aisee hata hao wanaume masikini wenyewe nao wana misururu traffic anasubiri acheni tu wanawake waangalie mifuko jamani maana hayo mapenzi ya kweli hayako tena kila mtu msaliti!
I see the old you

Bongo tunakaririshana kwamba kuvumilia maisha magumu ndio mapenzi.

Wanawake tutafika Mbingunii tumechoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maonyesho si mazuri kabisa.

Kongole kwa huyo dada maana kanishinda kwa tabialakini alikuwa sahihi kabisa maana ni boifrend huna uhakika kama. Atakuoa ama la na pengine hata mpango huo hana Hata mimi ningesema sina waaaaaahhiii..mtu unajikuta uko kwenye mahusiano lakin hujui yanahusiana na nini kha.

Ila Lizzy tuache masihara kuna wakaka wako vizuri nyie unaweza kumla bila mbogakho kho kho kikohozi kimenibana sana
Vibaya hivyo
 
Back
Top Bottom