Mr Miyagi
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 935
- 1,668
Pale ambapo unakuta mzee baba kwenye kila PM ya mrembo wa selfika, yupo anaimbisha. And he is acting single[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Pale ambapo unakuta mzee baba kwenye kila PM ya mrembo wa selfika, yupo anaimbisha. And he is acting single[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Achana na hii ya kuigiza kuwa upo singo, kesho married, kesho kutwa divorced; ila nje unajua mipaka yako. Unakuta mtu kaoa kabisa, ila kutwa kuwinda wadada PM akijifanya singo, na vikitiki anatoka nao kabisa. Au wale wanaofanya trial and error kwenye PM; anaweka mkeka kwenye PM za wadada, utakapotick ni hukohuko. So wewe unajua ni baby wako tu, kumbe ni baby wa wote watakaotick.
Hata mimi kuna wakati nakuwa singali kuna wakati nakuwa dabo mule mule inategemea niko mazingira gani tunaishi nao.kiukweli niko singo jaman [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na mimi ngoja nianze kuchange according to mazingira,Hata mimi kuna wakati nakuwa singali kuna wakati nakuwa dabo mule mule inategemea niko mazingira gani tunaishi nao.kiukweli niko singo jaman 🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1316][emoji1316]
Asanteeeee kwa kumaliziaaaaWoman says... Show me your bank account and I will trust you
Mwee nkamu nimetega sikio hapa nione ni nani hahahaha
Na mimi ngoja nianze kuchange according to mazingira,
jukwaani hapa selfika nipo dabo,,pm watu wanakuja kuniuliza kama kweli nipo dabo,,,kuna muda nawajibu nipo dabo kweli,kuna muda nawaambia nipo singo.
Sitabiriki yaaani....tutapigana tu kamba jamani huko pm😀
Thanks pia kwa kukubali ukweli..👊🏽Asanteeeee kwa kumaliziaaaa
Dadeq😂Achana na hii ya kuigiza kuwa upo singo, kesho married, kesho kutwa divorced; ila nje unajua mipaka yako. Unakuta mtu kaoa kabisa, ila kutwa kuwinda wadada PM akijifanya singo, na vikitiki anatoka nao kabisa. Au wale wanaofanya trial and error kwenye PM; anaweka mkeka kwenye PM za wadada, utakapotick ni hukohuko. So wewe unajua ni baby wako tu, kumbe ni baby wa wote watakaotick.
Wewe sema tu kweli, usije ukapishana na muujiza wako. Kuna gentleman nimemsukumia huko PM kwako[emoji126][emoji126][emoji126]
[emoji849]Dadeq[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe betting zipo hadi humu..
Ila Pm kuna mengi[emoji23]
KATIKA MATUKIO YOTE YA PM,HAKUNA TUKIO LILINIKATA MAINI KAMA LA KUTONGOZWA NA DADA MSAGAJI TENA NA SELFIKA YUPO.
NILIKEMEA LILE PEPO MWEZI MZIMA[emoji23]
Afadhali mmewauza. Mlisumbua saaana.
Mlimufanya dada yangu Shadeeya asiwe na amani
Mwaka huu atanenepa kwa raha anazopata kwa Feston Mayele, akikosa mwaka huu ndiyo basi tena, Mwakani Simba tunamrudisha tena Chama pamoja na Kumsajili Mayele ili kumpokea Bocco aliyepoteza makali.
Sasa tusemeje jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmefungwa tena kizembe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhhhh....🤔😏Yes. Quench my soul.
Will do....Nataka kuona Baada ya miaka kumi How is your photography now, Kuna progress? Hebu share na mimi ntakuonyesha nilipo sasa hivi. [emoji41]
mtoto mzuri mawardat nimekumiss[emoji849]
Will do....
Ngoja nimalize class.
Dadeq[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe betting zipo hadi humu..
Ila Pm kuna mengi[emoji23]
KATIKA MATUKIO YOTE YA PM,HAKUNA TUKIO LILINIKATA MAINI KAMA LA KUTONGOZWA NA DADA MSAGAJI TENA NA SELFIKA YUPO.
NILIKEMEA LILE PEPO MWEZI MZIMA[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 1987423
View attachment 1987424