Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

utachonga viazi.

Sio Lizzy tu hata kama ningekuwa ni mimi trust me nisingelimtaja wala kuwa na mategemeo ya kumtaja

Listen mtakatifu wangu kuna mambo lazima yabaki kuwa sirini.kuna watu humu ndan wapo ..tena wapo sanaaaa lakini hawataki kujulikana Kabisa na ukifanya kitu cha kuwafanya wajulikane Hapo hapo unawapoteza.so inabidi tujifunze kuwa na breki ya maneno..tujifunze kuto kuropoka itatusaidia pia kukutana na watu wa maana wakatupatia koneksheni za maisha
Well said .
Privacy ni muhimu
 
,
IMG_20211022_092636.jpg
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Nilipitwa na hii 😂😂😂🙈🙈

Chakorii umenikumbusha this girl tulifanyaga kazi flani hivi pamoja. Sasa boss wetu alikuwa boss kweli (awfully good looking, very well established, fashionable kinoma) ila mshkaji sana. Yani hana mbwembwe kabisa....sasa sijui this girl sijui alikuwa amezingua nini so boss akamuuliza au umemmiss sana babe wako mpaka kazi inakataa?? And she outright said "MI SINA BOYFRIEND!!!"

Baadae tukamuuliza duuude...mbona unasema uko single and you are not. Akatuchana eti kuna watu hata kama iweje hutakiwi kujidai eti ushachukuliwa. Akajazia we ukikutana na Diamond saa hizi unamuambia una mtu???

I was just like 🙄🙄🙄🙄
Maonyesho si mazuri kabisa.

Kongole kwa huyo dada maana kanishinda kwa tabia😁😁😁lakini alikuwa sahihi kabisa maana ni boifrend huna uhakika kama. Atakuoa ama la na pengine hata mpango huo hana 🙆‍♀️🙆‍♀️ Hata mimi ningesema sina waaaaaahhiii..mtu unajikuta uko kwenye mahusiano lakin hujui yanahusiana na nini kha.

Ila Lizzy tuache masihara kuna wakaka wako vizuri nyie unaweza kumla bila mboga😉kho kho kho kikohozi kimenibana sana😁
 
Back
Top Bottom