Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,244
- 90,420
Lizzy you look peng.Tuyapende matege yetu 🙂View attachment 1987982
Mkimaliza story zenu za kufundishana kutafuta mke mtiifu muweke na picha.



izingatiwe hiiSawa jf founder.Mkimaliza story zenu za kufundishana kutafuta mke mtiifu muweke na picha.
Hapana, 1st born my brother ana mke mzungu..Nilikuwa nimesoma kwa papara
Ikabidi nisome kwa umakini, na ndipo nilipokutana na statement hii "asili ya ki Asia". 😂😂
Isingekuwa hivo, aidha usingesimulia siku ya leo au ungesimulia viceversa
Kwa kweli Azimio na lidumu. It is well ankal
(Ujue jambo la huzuni lakini unanichekesha pia, bado unaongea mwenyewe?)![]()
😁😁😁Christmas utakula huko unapounga mkono 😆😆😆😆
On a serious note though....People don't fall in love with status but they do FOLLOW status. Na ndio maana inapobadilika mtu anaondoka.
Upo sawa, I agree with you🤝Sasa and 100 others if I didn't care about what you could do for me why would I even consider being with you???
Binadamu wote tuna ubinafsi ndani yetu....both men and women PERIOD!!! Tofauti ni kile tunachotafuta! I mean we mwenyewe mpaka um-vet mtu kwa kiwango hicho ni vile you want something from her. Be it true love...loyalty...companionship...submission...security or whatever.
Mwisho wa yote wote tunatafuta mtu ambae anaweza ku-fulfil maisha yetu one way or another.
Mtoto mwenye dimpoz zake.Jamani oooh ulipotelea angani??
Ahsante,,,,,nimekimiss pia
Wanawake wa jf napenda kuwaambieni kwamba kila mtu ana urembo kwa level zake.
Lakini ukweli ni kwamba shemeji yenu ananifanya nione wanawake wengine kama wanaume
Mtoto ana figure.
Mtoto ana rangi.
Mtoto ana sura
Mtoto anajua kupika.
Mtoto ana kila sifa ya kuitwa mke wangu.
Mtoto anajua mahaba.
Weeeeee!!!! Nani humu ndani wa hizo level.
Nani mtetezi wenu humu ajitokeze.
Wanawake wa jf hamstui, nawaambieni ukweli.







We cheka tu kama haujawahi kupatwa na international tukio. It will take time
Hapa tu tumejadili kidogo nimechefukwa hadi kuja kuangalia maji kidogo nikate sumu.
View attachment 1988479
Thanks BCM 😆☺😊Lizzy you look peng.
Hhmm is this genuine? 😳😳Upo sawa, I agree with you🤝