BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,628
- 19,810
Sura sijui ila nyuma naona tabia ni nzuri🤣Kabla sijawa na ndambi 🥴 sielewi hata nakitoaje 😣View attachment 1976773
Sura sijui ila nyuma naona tabia ni nzuri🤣Kabla sijawa na ndambi 🥴 sielewi hata nakitoaje 😣View attachment 1976773
Yep😀
Location tafadhali
Daddy naomba unipikie hizo veggies nikikujaZucchini (hilo la kijani) na squash (hayo ya njano) nayapenda sana kuyakaanga kwa mafuta kidogo tu ya mzeituni pamoja na biringanya. Ni veggies safi kabisa unakula unashiba
View attachment 1958630
Kwa Kiswahili yanaitwa Zukini au ukitaka kile Kiswahili chenyewe kabisa orijino kutoka Unguja nadhani yanaitwa mang'unye. Na pamoja na matango, ni jamii moja ya maboga.
View attachment 1958632View attachment 1958633
Pringles za ladha gani mkuu
Beer mseto 🙂Na jumamosi ndiyo inaishia Kama hivyoView attachment 1976881
😋Aisee
Kitu kinachonipatia Shida kidogo ni pale wanapo jimilikisha huyu Mungu wa Mbinguni ambae ni wawoote na kumwita Mungu wa UWATA😂😂hicho ndo kinanifanya niludi ule upendo naukumbuka sanaa
Maswala ya Imani yaache kama yalivyo mkuu... Kila mtu na anachokiamin...Kitu kinachonipatia Shida kidogo ni pale wanapo jimilikisha huyu Mungu wa Mbinguni ambae ni wawoote na kumwita Mungu wa UWATA
wap tena mkuu
D,unaendeleaje na jino??
Ujue wapo serious Naye,hawamtafuti kwa kubahatisha na janjajanja kama zilivyo baadhi ya fellowships.Kitu kinachonipatia Shida kidogo ni pale wanapo jimilikisha huyu Mungu wa Mbinguni ambae ni wawoote na kumwita Mungu wa UWATA