Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
























HahahaKaribuni tufungue kinywaView attachment 1976174

Limepoa. BTW sijui kwanini linauma maana nilihisi maumivu sehemu ambapo jino(wisdom teeth) lake lilishatoka 2019, ni kitambo sana maana mpaka pengo lake limeshajiziba.
Niko poa now 🥂Pole- hope umepata dawa
Tunaweka mambo sawaWazee wa kuzimua asubuhi mpo??
Sioni vyombo.
Jack Palladino
billdrago
Sent using Jamii Forums mobile app

Nimepamiss.Mnadani jana MsalatoView attachment 1977088View attachment 1977089
Nimeona msalato ikabidi tu nijinyamazie



Dada saivi mwenyeji

We si mboga7?Nimeona msalato ikabidi tu nijinyamazie
Sijawahi kwenda Hata siku moja,kwa muda wote nilioishi Dodoma.
Sent using Jamii Forums mobile app