Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,845
- 52,251
Afe kipa afe bekiView attachment 1976762
Samahani kama hautojali
Hiyo kwenye kichupa cha brown ni nini?
Just curious
Afe kipa afe bekiView attachment 1976762
Asee nenepa vyote lakini siyo tumbo,...kuna shoga angu yaani limemwagika kabisa
![]()


Kidogo twende kwenye 4-DimensionView attachment 1976806
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Yaani likimwagika ni balaa,ata ukivaa hupendezi yaaniHalafu bora la kuvimba utalitoa kuliko likimwagika![]()

WowKabla sijawa na ndambi 🥴 sielewi hata nakitoaje 😣View attachment 1976773
Yaani likimwagika ni balaa,ata ukivaa hupendezi yaani![]()
Nina la kuvimba jamani nalitoaje? 🤣🤣🤣Halafu bora la kuvimba utalitoa kuliko likimwagika![]()
Na wewe hapo bado nasubiria za kwako. Tangu mwaka 2011 nilivyoahidiwa hadi leo hola masikini ya Mungu daah.
Lina kunyima usingizi eeehNina la kuvimba jamani nalitoaje?![]()
,Hayo maganda ya blue ni pipi?Afe kipa afe bekiView attachment 1976762
Hongera....rafiki yangu yaaniNimepambana kimebakia cha chini kidogo
Hakinisumbui
halafu vile anapenda kuvaa magauni ya mpita mpira
..nadhani umepata picha inakuwaje.Nina la kuvimba jamani nalitoaje?![]()
Hujaona chebe limestawii?Ila we mtoto una maneno jamani khaaa![]()
![]()
![]()
![]()
🤣 noma Sana. Nitajitahidi.Achana na bia kabisa
Hongera....rafiki yangu yaanihalafu vile anapenda kuvaa magauni ya mpita mpira
..nadhani umepata picha inakuwaje.
DuhHalafu bora la kuvimba utalitoa kuliko likimwagika![]()



Huyu tuendelee kumtazamia KristoNa wewe hapo bado nasubiria za kwako. Tangu mwaka 2011 nilivyoahidiwa hadi leo hola masikini ya Mungu daah.
Aah wapi 🤣🤣 halijawa shapeless sana. Ingawa lina gram kama 900 hivi 😆Lina kunyima usingizi eeeh,