Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yaah nimetoka saa 04:30 mpak 06:30 hiv ntakuwa Dar

Safari tamu mno ukianza hata road trips unaachana nazo
Duuh hivi hizi boat za Azam Marine huwa zinatofautiana muda! Maana hata mwenyewe nakumbuka nilikuwaga naambiwa ni masaa mawili ila tangu nimeanza kupanda mwenyewe hayajawahi kufika masaa mawili!

Mara nyingi ni lisaa limoja na nusu na boat nilizowahi kupanda ni Kilimanjaro 4 na 7! Au zile za Zan Ferries ndiyo huchukua masaa mawili maana binafsi kwa safari kama hizo huwa nafurahia sana usafiri ukichelewa kufika!
 
Wale wa kikapu vitu vyenu hivi hapa.

IMG_1979.jpg
 
Back
Top Bottom