Unaongea nini hichi? 🤣 uwaoni huko mabarabarani?
Duh[emoji38]mawardat naomba ufafanuzi kwa picha[emoji1787][emoji1787]
Duh[emoji23][emoji23][emoji23]Unaongea nini hichi? [emoji1787] uwaoni huko mabarabarani?
Tumbo la chini linamwagika hadi kwenye naniliuuu.
Safi sana,...unaweza kutumia mkanda piaOops
Mie hizo gauni sijawahi kufanikiwa kuvaa
Kuna materials napendelea zinifichefiche kishkaji
[emoji1787] noma Sana. Nitajitahidi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwenye naniliuUnaongea nini hichi? [emoji1787] uwaoni huko mabarabarani?
Tumbo la chini linamwagika hadi kwenye naniliuuu.
Huu ni mchaichai?Kidogo twende kwenye 4-DimensionView attachment 1976806
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Safi sana,...unaweza kutumia mkanda pia
[emoji23]Aah wapi [emoji1787][emoji1787] halijawa shapeless sana. Ingawa lina gram kama 900 hivi [emoji38]
Vizuri. Vodka unapiga dry?Ni nimehamia kwenye vodka na tequila
Ulaji pia nimebadili
Kuna mchanganyiko wangu nimetengeneza napiga asubuhi na tuzoezi kidogo basi mambo yanaenda
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hujaona chebe limestawii?
Hii unaipata? " shughulikaaaa, jifiche jifiche jifiche usinione... Shughulikaaaa macho mbele [emoji3]
Oooh,[emoji7]
Duh[emoji23][emoji23][emoji23]
Tumbo nalo limekuwa kama maji linamwagika!!
Nyie mnanichekesha mjue[emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Google sativas / indica.