Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,444
Haya bwana,ngoja nitulie kimya[emoji39]
Haya bwana,ngoja nitulie kimya[emoji39]
Utanifanya niende zenji.View attachment 1977439
Zanzibar patamu [emoji39]
Utanifanya niende zenji.
Kuna wapemba nipo nao kazini,kila siku wananishawishi tuende Zanzibar..ila naogopa mno maji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kigamboni tu sijawahi fika,naogopa maji.View attachment 1977566
Twende weekend ya mwisho wa mwezi
Safari ya Zanzibar hii? HornetView attachment 1977518
[emoji3526]
Hata kigamboni tu sijawahi fika,naogopa maji.
Huko zenji nasikia ni masaa mawili si nitazimia Mimi!
Dah, siwezi kaa karibu na maji namna hiyo[emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Safari ya Dar [emoji6]
My Flav. Kuna siku nlikua nasafiri nikanunua fasta fasta kumbe nimepewa Flav. Ya onion, aisee ilibidi nimpe mhehe mmoja pembeni yangu mbele nikanunua chilli crips ndio nikaishi nazo. Ukiacha home, napokua safarini napenda sana kula snacks. Ngoja nikatafute maziwa nijigongee cornflakes [emoji2][emoji2]Barbecue
Sawa mkuu.Mkuu nikuone pm kidogo
My Flav. Kuna siku nlikua nasafiri nikanunua fasta fasta kumbe nimepewa Flav. Ya onion, aisee ilibidi nimpe mhehe mmoja pembeni yangu mbele nikanunua chilli crips ndio nikaishi nazo. Ukiacha home, napokua safarini napenda sana kula snacks. Ngoja nikatafute maziwa nijigongee cornflakes [emoji2][emoji2]
Nina phobia na maji.Yaah nimetoka saa 04:30 mpak 06:30 hiv ntakuwa Dar
Safari tamu mno ukianza hata road trips unaachana nazo
[emoji8]Leo mwendo wa pringles na maji tuView attachment 1977658