Naomba nifanyie mpango basi hiyo picha ije pm ikiwa na uso uliokamilika. Tangu mwaka juzi niliahidiwa kutumiwa picha full ila hadi leo hola mwee. [emoji2297][emoji2297] [emoji53][emoji53][emoji7][emoji7][emoji7]dota!
Umejiandaa vyema kamanda ila hakikisha tu moyo wako una afya njema. Kama kuna katatizo hukajui usije ukashangaa watu wanaimba "parapanda italia parapanda...."[emoji16]Afe kipa afe bekiView attachment 1976762
Ila we mtoto una maneno jamani khaaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Chebe limekolea nazi
[emoji23][emoji23]na limekolea nazi kweli kweli...Chebe limekolea nazi
Hii ahadi niliitoa mimi kweli dota?Naomba nifanyie mpango basi hiyo picha ije pm ikiwa na uso uliokamilika. Tangu mwaka juzi niliahidiwa kutumiwa picha full ila hadi leo hola mwee. [emoji2297][emoji2297] [emoji53][emoji53]
[emoji7]D[emoji7]D[emoji7]Kabla sijawa na ndambi [emoji3061] sielewi hata nakitoaje [emoji21]View attachment 1976773
Afe kipa afe bekiView attachment 1976762
Mwenzako sahivi tumbo limeshikana na kiuno 🤣🤣[emoji7]D[emoji7]D[emoji7]
Asee nenepa vyote lakini siyo tumbo[emoji16],...kuna shoga angu yaani limemwagika kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwenzako sahivi tumbo limeshikana na kiuno [emoji1787][emoji1787]
Ishakuwa tabu huku!!!View attachment 1976718
Naomba nifanyie mpango basi hiyo picha ije pm ikiwa na uso uliokamilika. Tangu mwaka juzi niliahidiwa kutumiwa picha full ila hadi leo hola mwee. [emoji2297][emoji2297] [emoji53][emoji53]
Asante tena sis darling! Hivi siku ukituma ya kwako servers zitagoma kufanya kazi eti??Ahsante brod darling
Asante tena sis darling! Hivi siku ukituma ya kwako servers zitagoma kufanya kazi eti??
Aisee,! Kumbe watumiaji wa hii kitu wapo humu?Kidogo twende kwenye 4-DimensionView attachment 1976806
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Chief kwema?[emoji102]View attachment 1976274