Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,198
Mboga 7 wote walikuwa wanaenda weekend kula nyama choma huko.We si mboga7?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mboga 7 wote walikuwa wanaenda weekend kula nyama choma huko.We si mboga7?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Saint AnneTunazimua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu msemo amenifundisha Jack Palladino View attachment 1977163View attachment 1977164
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbinguni tunaambiwa kuna maziwa na asali,wapenda nyama tule sana tungali Duniani..
😘😘😘😘😘😘Wapi picha? PTER
Bae unashiba hako Ka chakula ? Mi nikiendaga Hotelini naagiza chakula sahani mbili Yani wakati nakula hiki kile kingine kiwe kinaiva huko
Mkuu nikuone pm kidogoZucchini (hilo la kijani) na squash (hayo ya njano) nayapenda sana kuyakaanga kwa mafuta kidogo tu ya mzeituni pamoja na biringanya. Ni veggies safi kabisa unakula unashiba
View attachment 1958630
Kwa Kiswahili yanaitwa Zukini au ukitaka kile Kiswahili chenyewe kabisa orijino kutoka Unguja nadhani yanaitwa mang'unye. Na pamoja na matango, ni jamii moja ya maboga.
View attachment 1958632View attachment 1958633
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Namalizia kufanya diet kwanza
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Nini jani? Mie naona sura yake haiendani hata na ucommando!
AiseeKabla sijawa na ndambi [emoji3061] sielewi hata nakitoaje [emoji21]View attachment 1976773
Karibu mkuu, za kutosha
[emoji23][emoji23][emoji23], sasa nikiwa high ndio nakua kama msabato kabisa
Pringles za ladha gani mkuu
Leo tuliamkia church mkuu Sasa ndio najiandaa kuingia maeneoWazee wa kuzimua asubuhi mpo??
Sioni vyombo.
Jack Palladino
billdrago
Sent using Jamii Forums mobile app