Hahahah ngoja wake masponsor tuwashinikize wasikunyime haki yako aiseeHao nilishawashinda sema ma sponsor wamegoma kunipa zawadi.
uzi umegeuka wa mipasho badala kutupia picha
jamani sisi tunataka kuona neema za Allah
😂 😂 😂 😂 sabuni ya nini tena?Kama nakuona na box lako la sabuni
![]()
![]()
![]()
sabuni ya nini tena?
aaah wapi naanzaje kufanya hivyoYa kusafishia neema za Allah
Hapana nimeingia muda si mrefu nikakuta kuna mtu kanitag wakati naperuzi nikaona jinsi mnavyo discuss...
Nikasema sasa hawa si tulikubaliana na mshanah kuwa uzi wake uendelee kama title inavyoeleza sasa kuanza kunihusisha katika mazungumzo yenu wakati nimewaachia nafasi ni kero..
Ila kama mnataka huu uzi ufungwe ni sawa, nitarudi na hadithi nzuri, ili nipate LIFE BAN vizuri...
Kiukweli mi kukasirika humu nakasirikaga sana tu ila ambacho sitaki ni kumewekea kinyongo mtu nisiemjua akinikwaza zaidi namalizana nae pm ikigoma namuignore na sitajibu chochote kwake na ikitokea akanifurahisha pahala nagonga like natembea
Ila kubishana sana kama wewe humu niwe honest siwezi mara nyingi nikiona mtu kanizidi nampa ushindi naamsha popo,,
maisha magumu huku kitaa na humu napo iwe hivyo booooh hapana tusifikishane huko
Hahahah leo paka na mbwa wamekuwa marafiki🤣🤣🤣Hahahahh.. Marianah huwezi ukacha niamini mimi.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Tena mi sijui kuchamba mi natukana ila siku hizi nimepunguza ila kuna kambinu kapya nimekaanzisha mtu anajaa weeeee halafu analipuka mwenyewe nakaa kando naburudika
Yeah huku JF tukitofautiana tunabishana tukifurahishana tunalaikiana maisha yanaendelea no holding grudges, kwanza I am a Leo na sifa yetu kuu we don't hold grudges
Kajambe mbele huko. Nawatapeli wenye hela sio maskini kama wewe. Halafu sitaki unishobokee nilishakwambia ukiona post yangu pita kama umekutana na mkweo.
😂😂😂😂😂 mwandiko unatetemeka 🙌Hata asipokula ban lakini anawaka mpk mwandiko unatetemeka anajichoresha kila mtu anamuona alivyo baaasi mi huku kwangu kicheko
uzi umegeuka wa mipasho badala kutupia picha
jamani sisi tunataka kuona neema za Allah
Huu uzi udumu milele.
Huu uzi hautakaa ufutwe.
.
Mshana shindano linaanza saa ngapi nianze kutupia picha.










bora na wewe useme mkuu maana naona watu wanatoka nje ya madaNaunga mkono hoja mkuu,siku hizi kila nikiingia JF naingia huu uzi kuendelea nilikoishia jana
Cardiovascular kuwa mpole tafadhali....huu uzi ni muhimu sana kwa baadhi yetu hapa
Unamfuata aliyekukwaza mmalizane pm?
Siwezi aisee nakupa hapohapo
Nitajifunza kufuata mtu pm
anza kutupia saivi zitafanyiwa uchambuzi baadae, naamini utashinda maana hyo shape uliyonayo sio mchezoHuu uzi udumu milele.
Huu uzi hautakaa ufutwe.
.
Mshana shindano linaanza saa ngapi nianze kutupia picha.