Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 25,912
- 70,665
Tena mi sijui kuchamba mi natukana ila siku hizi nimepunguza ila kuna kambinu kapya nimekaanzisha mtu anajaa weeeee halafu analipuka mwenyewe nakaa kando naburudika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwanini eti jamani?? Wakati mimi ndiyo naona sikufikii wewe kwa vichambo!! Vile vichambo mlivyompa yule kaka ningepewa mimi ningetoka JF milele