Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,486
Wow, just wow, your level of stupidity has rendered me speechless, bruh.
Nimepitia baadhi ya nyuzi zako nimegundua bado ni kijana mdogo sana, anyway mimi kama kaka yako nakushauri upambane na shule kwanza kukesha kwako mtandaoni na kuwafuatilia wasanii hakutokusaidia chochote katika kesho yako...
Tena nimegundua hukufaulu kidato cha nne na hivyo kupelekea wewe kutokuendelea na kidato cha nne na hivyo kusomea certificate sijui ya kozi gani na sasa unasubili kujiunga na diploma sijajua kama gpa yako ya certificate inakuruhusu kuendelea na ngazi inayofuata...
Una safari ndefu ya maisha na hujaona mengi, hivyo ningependa ukazane na shule kwanza usiruhusu utandawazi ukutawale na hivyo kuharibu future yako nzuri uliyoandaliwa huko mbeleni na Mungu...
weed 


