Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji12][emoji12][emoji12] Nyie ndio mmrbarikiwa bana.

Hizo packs mbona zinatafutwa ndani ya miezi michache tu unakuwa nazo za kutosha tena hata bila gharama.

Sasa nyie hizi figures kwa mtu ambaye sio naturally endowed anazitafuta kwa gharama kubwa kweli.
Mimi nna figure gani Lizarazu?
Unanipaka mafuta kwa mgongo wa chupa eeh?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]halafu haujui tu mimi nikiolewa I will make a very good wife basi tu huwa najichetua akili ila I know someday nitaacha huwa nasema huu ujinga nisipoufanya sasa hivi nitaufanya lini tena nikiwa kwenye ndoa au??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sitaki kuruka stage mie!!
Hahahahh.. Marianah huwezi ukacha niamini mimi.
 
JF is the only place where we can dare talk openly, besides JF there's no other place where we can confidently express our disgruntlements about this fascistic government.

I personally won't stop to animadvert this reprehensible government and no one will snatch me.

Acha kututisha mzee baba.
Jidai mbabe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na ni mzuri halafu.. rafiki zangu wote niliowaleta huku ni wazuri
Cc
Phenomenal woman
Juicy
Bubbles J we nyau sina hakika sana na ID yako ila
😆😆Ndege wanaofanana ndio huruka pamoja...kwa hiyo sababu wewe si kisu bali ni panga kabisa lazima uwe na marafiki mapanga wenzio
Halafu nilishamuhisi ni nani uliyemmaanisha na ktk hawa nishapata picha japo walau😄
 
Mimi najiandaa kuolewa.
Muda wowote zari likiniangukia najilipua .
Nataka nilee familia ningali Nina nguvu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aise
 
Back
Top Bottom