Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tupunguze ngonjera jamani tumeni hizo picha basi
.
1570185630703.jpeg
 
Tusameheane boss ...yaishe.
Kukwaruzana ni kawaida ya wanadamu...hakuna mkamilifu.
Tusameheane na kusahau
Nakumbuka jana tulikubaliana kabisa hakuna haja ya kuendelea majibizano katika uzi wako, ila nimeingia naona bado kuna watu wanaendeleza ujuaji, halafu wengi wao ni mabinti wadogo tu, tena wengine ni kwamba wapo vyuoni bado na wengine ndio wanategemea kuhitimu mwaka huu, wengine ni walimu...

Nimetoa tu angalizo, wasione nimekaa kimya wakadhani siwezi kuna na vivid evisence na hapo ndipo uzi huu utafungwa na mimi kula LIFE BAN na pia kuna watu watakimbia ID zao...

Ongea na wadogo zako hao...
 
Hahahaha mi nikichukia hata kuandika siwezi,, saiv mtu akiniboa naenda mahali pakimya narelax kwa muda nikirudi namlia timing namla kichwa
Ah mimi siwezi kukasirika kwa haya mabishano ya humu JF ambayo watu hatujuani huwa nakasirika kwa yale mabishano ambayo nabishana na mtu live au kwenye simu ambaye tunajuana

Yaani hayo ndiyo huwa nakasirika hasa kama mtu ninayebishana naye hana hoja na mimi hasira zangu huisha kwa kulia na kulala nikiamka nimesamehe na nimesahau kila kitu and we're good

Ila nimekumbuka kuna ex wangu mmoja hivi kuna siku nilienda naye evening walk wakati tunatembea tukaanza kubishana kuhusu dunia na jua mimi nilikuwa nasema dunia ndiyo inalizunguka jua yeye akawa anasema jua ndiyo linaizunguka dunia aise tulibishana njia nzima kama vichaa

Halafu alikuwa serious kakomaa kabisa yaani tulibishana hadi kichwa kiliniuma nikashikwa na hasira kufika nyumbani nikalala kuamka asubuhi akanitafuta ananiambia eti "sasa na wewe ulikasirika nini wakati mimi nilikuwa nafanya makusudi tu kubishana na wewe na ninajua kabisa kwamba dunia ndiyo inalizunguka jua" aise nilitamani kummeza yaani ila utoto raha sana
 
Kiukweli mi kukasirika humu nakasirikaga sana tu ila ambacho sitaki ni kumewekea kinyongo mtu nisiemjua akinikwaza zaidi namalizana nae pm ikigoma namuignore na sitajibu chochote kwake na ikitokea akanifurahisha pahala nagonga like natembea

Ila kubishana sana kama wewe humu niwe honest siwezi mara nyingi nikiona mtu kanizidi nampa ushindi naamsha popo,,

maisha magumu huku kitaa na humu napo iwe hivyo booooh hapana tusifikishane huko
Ah mimi siwezi kukasirika kwa haya mabishano ya humu JF ambayo watu hatujuani huwa nakasirika kwa yale mabishano ambayo nabishana na mtu live au kwenye simu ambaye tunajuana

Yaani hayo ndiyo huwa nakasirika hasa kama mtu ninayebishana naye hana hoja na mimi hasira zangu huisha kwa kulia na kulala nikiamka nimesamehe na nimesahau kila kitu and we're good

Ila nimekumbuka kuna ex wangu mmoja hivi kuna siku nilienda naye evening walk wakati tunatembea tukaanza kubishana kuhusu dunia na jua mimi nilikuwa nasema dunia ndiyo inalizunguka jua yeye akawa anasema jua ndiyo linaizunguka dunia aise tulibishana njia nzima kama vichaa

Halafu alikuwa serious kakomaa kabisa yaani tulibishana hadi kichwa kiliniuma nikashikwa na hasira kufika nyumbani nikalala kuamka asubuhi akanitafuta ananiambia eti "sasa na wewe ulikasirika nini wakati mimi nilikuwa nafanya makusudi tu kubishana na wewe na ninajua kabisa kwamba dunia ndiyo inalizunguka jua" aise nilitamani kummeza yaani ila utoto raha sana
 
Nakumbuka jana tulikubaliana kabisa hakuna haja ya kuendelea majibizano katika uzi wako, ila nimeingia naona bado kuna watu wanaendeleza ujuaji, halafu wengi wao ni mabinti wadogo tu, tena wengine ni kwamba wapo vyuoni bado na wengine ndio wanategemea kuhitimu mwaka huu, wengine ni walimu...

Nimetoa tu angalizo, wasione nimekaa kimya wakadhani siwezi kuna na vivid evidence na hapo ndipo uzi huu utafungwa na mimi kula LIFE BAN na pia kuna watu watakimbia ID zao...

Ongea na wadogo zako hao...
Its alright big bro... Ni wadogo zetu sometimes we have to act big n grown up... Ina tafsiri yake kubwa sana
 
Nakumbuka jana tulikubaliana kabisa hakuna haja ya kuendelea majibizano katika uzi wako, ila nimeingia naona bado kuna watu wanaendeleza ujuaji, halafu wengi wao ni mabinti wadogo tu, tena wengine ni kwamba wapo vyuoni bado na wengine ndio wanategemea kuhitimu mwaka huu, wengine ni walimu...

Nimetoa tu angalizo, wasione nimekaa kimya wakadhani siwezi kuna na vivid evidence na hapo ndipo uzi huu utafungwa na mimi kula LIFE BAN na pia kuna watu watakimbia ID zao...

Ongea na wadogo zako hao...
Aaaah Mr perfect weeeeeh!! Mzee mwenye kazi yake dunia mzima hakuna, mwenye mke malaika, mtu busy kwelikweli. Mzee mwenye maevidence na vitisho vyake.

Hivi tulikukoseaga nini maana una hasira na sisi acha kabisa
 
Kiukweli mi kukasirika humu nakasirikaga sana tu ila ambacho sitaki ni kumewekea kinyongo mtu nisiemjua akinikwaza zaidi namalizana nae pm ikigoma namuignore na sitajibu chochote kwake na ikitokea akanifurahisha pahala nagonga like natembea

Ila kubishana sana kama wewe humu niwe honest siwezi mara nyingi nikiona mtu kanizidi nampa ushindi naamsha popo,,

maisha magumu huku kitaa na humu napo iwe hivyo booooh hapana tusifikishane huko
Unamfuata aliyekukwaza mmalizane pm?

Siwezi aisee nakupa hapohapo

Nitajifunza kufuata mtu pm
 
Back
Top Bottom