Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,777
Hebu Anza kutupa vionjo Sasa hivi kabla ya shindano basiHuu uzi udumu milele.
Huu uzi hautakaa ufutwe.
.
Mshana shindano linaanza saa ngapi nianze kutupia picha.
Hebu Anza kutupa vionjo Sasa hivi kabla ya shindano basiHuu uzi udumu milele.
Huu uzi hautakaa ufutwe.
.
Mshana shindano linaanza saa ngapi nianze kutupia picha.


Licha ya mapungufu mengine madogo madogo una busara Sana![]()
Kabisa kulumbana kupo na ni kawaida ila isivuke mipaka tuvumiliane
Usitutishe wewe.Hapana nimeingia muda si mrefu nikakuta kuna mtu kanitag wakati naperuzi nikaona jinsi mnavyo discuss...
Nikasema sasa hawa si tulikubaliana na mshanah kuwa uzi wake uendelee kama title inavyoeleza sasa kuanza kunihusisha katika mazungumzo yenu wakati nimewaachia nafasi ni kero..
Ila kama mnataka huu uzi ufungwe ni sawa, nitarudi na hadithi nzuri, ili nipate LIFE BAN vizuri...
Hapana nimeingia muda si mrefu nikakuta kuna mtu kanitag wakati naperuzi nikaona jinsi mnavyo discuss...
Nikasema sasa hawa si tulikubaliana na mshanah kuwa uzi wake uendelee kama title inavyoeleza sasa kuanza kunihusisha katika mazungumzo yenu wakati nimewaachia nafasi ni kero..
Ila kama mnataka huu uzi ufungwe ni sawa, nitarudi na hadithi nzuri, ili nipate LIFE BAN vizuri...
Semegi usijisahaulishe ujue!!!
Huu uzi udumu milele.
Huu uzi hautakaa ufutwe.
.
Mshana shindano linaanza saa ngapi nianze kutupia picha.








Ah mimi siwezi kukasirika kwa haya mabishano ya humu JF ambayo watu hatujuani huwa nakasirika kwa yale mabishano ambayo nabishana na mtu live au kwenye simu ambaye tunajuana
Yaani hayo ndiyo huwa nakasirika hasa kama mtu ninayebishana naye hana hoja na mimi hasira zangu huisha kwa kulia na kulala nikiamka nimesamehe na nimesahau kila kitu and we're good
Ila nimekumbuka kuna ex wangu mmoja hivi kuna siku nilienda naye evening walk wakati tunatembea tukaanza kubishana kuhusu dunia na jua mimi nilikuwa nasema dunia ndiyo inalizunguka jua yeye akawa anasema jua ndiyo linaizunguka dunia aise tulibishana njia nzima kama vichaa
Halafu alikuwa serious kakomaa kabisa yaani tulibishana hadi kichwa kiliniuma nikashikwa na hasira kufika nyumbani nikalala kuamka asubuhi akanitafuta ananiambia eti "sasa na wewe ulikasirika nini wakati mimi nilikuwa nafanya makusudi tu kubishana na wewe na ninajua kabisa kwamba dunia ndiyo inalizunguka jua" aise nilitamani kummeza yaani ila utoto raha sana
Nipo najiandaa kwa shindano.Hebu Anza kutupa vionjo Sasa hivi kabla ya shindano basi
Unamfuata aliyekukwaza mmalizane pm?
Siwezi aisee nakupa hapohapo
Nitajifunza kufuata mtu pm
Umeona eenh?? Sasa ndiyo wanaume wengi wa humu JF walivyo hivyo!!
Yes nataka kurudi sasa, ili tuelewane vizuri...




Unamfuata aliyekukwaza mmalizane pm?
Siwezi aisee nakupa hapohapo
Nitajifunza kufuata mtu pm
Hongera maaMi nikimkwaza mtu nafurahi zaidi akinambilia pembeni na hiyo ndo heshima hata mie mtu akinikera sana sana namfata pm
Washindani wenzio akina Depal & Saint anne wamepotea naona kwa hiyo zawadi yako hiyo😆😆Nipo najiandaa kwa shindano.
Usitutishe wewe.
Huu Uzi hautafutwa maana hamna atakayekujibu.
Na ukinizungumzia Mimi nitakuja kukujibia kwenye nyuzi zako.
HUU UZI HAUFUTWI MAANA HATUTAKUJIBU KWA HIYO HIVO VITU KAVIPOST KWENYE UZI WAKO.
Hao nilishawashinda sema ma sponsor wamegoma kunipa zawadi.
Asante dear.Safi
Hili limbwata la Mshana ni komesha kila mtu ana busara tangu juzi no ban no fujo no nini
Nazidi kukupenda



Hahahahahaaa.. naona unataka ule ubwabwa wa harusi