Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Mimi ninachonishinda Ni mvivu kuongea na nna speed ya Kobe..bila hivyo walahi mbona watu wamgejuta.

Upo kwenye Sala zangu[emoji8][emoji8][emoji8]
 
unaolewa vizuri na mbwembwe zote zinaisha
 
Ungemtumia pm huyo mkeo
Nimeweka kila kitu mahala pake.


Vya hadharani ni kwa hadhara na vya siri sirini.

Naongea na yeye bibie,unaelewa nini unapoambiwa "khasa" ? au "kuwakilisha wingi kwa kukusudia umoja " ?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unakumbuka ule Uzi tumebishana Sana kuhusu utatu mtakatifu alisema atakuja kututia adabu kwa kutuongeza kuwa wakeze???
Nikajua tayari[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naukumbuka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sema astaghfirullah yaani mimi niolewe na Zurri[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]over my dead body
 
[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
Kaka wadogo zako watakiona Cha mtema kuni humu ndani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanajitia kuwachokoza dada zao yaani huu uzi Hadi umeisha hakuna rangi mtaacha kuona[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…