Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kupendana sio kulishana, maana unaweza lishwa kwa unafiki pia. Ila nahisi ni caring maana huwezi kumcare mtu usiyempenda. Najua unajua banaa

Nilishapitia.. I know how beautiful is to love & to be loved.... Ushawahi bebea mamsap wako handbag? Kumlisha je? Kumtolea mifupa kwenye samaki?Public places likely kwenye ma restaurant huko Bila kujali macho ya watu... I've such experience.

Hii naipata sasa Hivi nimejikuta nimerudia usichana
Yaani caring ni kitu amazing sana

Muda wote mnajihisi mpo wawili tu

Leo nimeenda job nimevaa tshet yake

Sijui hata Kwa nini nimevaa
 
Hii naipata sasa Hivi nimejikuta nimerudia usichana
Yaani caring ni kitu amazing sana

Muda wote mnajihisi mpo wawili tu

Leo nimeenda job nimevaa tshet yake

Sijui hata Kwa nini nimevaa
Caring to the beloved one ni balaa. 😍 Mnatamani mfukuze wengine duniani mbaki wenyewe.

Hiyo T-shirt iliyovishwa kwenye manyonyo itakuja kumkaa kweli 😂
 
Kama nifungue ka-mama ntilie kangu hivi 🤔🤔
20210811_165557.jpg
 
Back
Top Bottom