Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,444
Annie hujawahi kukosa [emoji28]Safi sana Nige
Annie hujawahi kukosa [emoji28]Safi sana Nige
Nafika tu na kukutana na picha [emoji23]Annie hujawahi kukosa [emoji28]
Annie ametokea kama upepo [emoji23][emoji28]Nimeshangaa sana [emoji1787][emoji1787] kwahiyo ulikuwa around au notification ziko on?
Dah haufai [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣 pombe za maandishi? Hongera sanaNimekuja Kama upepo[emoji23]
Tangu mnifundishe pombe basi kichwa kimekuwa chepesi sana kuwahi mambo.
Bahati ilioje hiyo eeh [emoji28][emoji3]Nafika tu na kukutana na picha [emoji23]
Na kwenye jf App hatutegemei notifications.Annie ametokea kama upepo [emoji23][emoji28]
Annie unaharibu sasa, kung'aa tena [emoji3]Alivyokuwa mzuri Sasa[emoji91][emoji91]
Anang'aa balaa.
Itapotea kabla giza halijaingia 😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nishaisave
Annie ametokea kama upepo [emoji23][emoji28]
Ukweli ni kwamba wale watu walinijaza upepo hadi nikapiga pafu mbili pale ile wine..[emoji1787][emoji1787] pombe za maandishi? Hongera sana
Nilikuwa najidanganya tu, wapo hapa hapa [emoji2][emoji2]We si ulisema wako lunch [emoji23]
Nige wewe handsome balaaaAnnie unaharibu sasa, kung'aa tena [emoji3]
Ankali wa Taifa!😍😍😍Nyasa[emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]
Mambo ni bado[emoji7]View attachment 1888225View attachment 1888226
[emoji23][emoji23]Na kwenye jf App hatutegemei notifications.
Tunakuja tu kama upepo wa kisulisuli.
Nina picha za toka mwaka juzi na hazijapotea[emoji23]Itapotea kabla giza halijaingia [emoji23]
Hahah hata ukiunganisha hauwezi pata picha kamili AnnieNige wewe handsome balaaa
Kuna picha yako ya mwaka jana ninayo.
Ya kiatu na jeans.
Ngoja niendelee kuziunganisha,baadaye nitapata picha kamili.
Ulikunywa ile Amarula?Ukweli ni kwamba wale watu walinijaza upepo hadi nikapiga pafu mbili pale ile wine.
Yaani walinimiminia kabisa pale,wakaanza upya kunijaza upepo,eti si unaona haya ni maziwa kabisa[emoji1787]
Bahati nzuri nilipata dharula nikaondoka fasta...bila hivyo yaani ningetoka pale nimelewa.
Nasema uongo ISO M.CodD
Hadi Sasa imebaki kidogo tu nipate picha kamiliHahah hata ukiunganisha hauwezi pata picha kamili Annie