Kijana kapate chanjo kwa faida yako sasa na baadaeHahahaha Kama kweli vile ni wapi huko mnachanja nije!.
Mwili wote umejaa janjo hiyo nyiingine sijaithibitisha tutawachoma nyie tu Tena bila kuvaa PPEKijana kapate chanjo kwa faida yako sasa na baadae
Hahahaha we ruka. ruka ila kuchanja utachanja iwe leo au kesho.Mwili wote umejaa janjo hiyo nyiingine sijaithibitisha tutawachoma nyie tu Tena bila kuvaa PPE
Nakuonea wivu maana katika kitu kinanishinda kuacha kwa muda mrefu ni mkate. 😬🥴Dhaaa mkate now days umenishinda
Mungu anajua kuumba nyinyi





Gauni limekupendeza aisee si mchezo
Dhuuuu aiseeeeNakuonea wivu maana katika kitu kinanishinda kuacha kwa muda mrefu ni mkate.![]()
Ongezea na location imefit vizur sanaGauni limekupendeza aisee si mchezo
Sasa kama unakula ule wa Butter toast'super loaf unaanzaje kuukinai? Ni ngumuNakuonea wivu maana katika kitu kinanishinda kuacha kwa muda mrefu ni mkate. 😬🥴
Code 🥰
HahahahaaMwili wote umejaa janjo hiyo nyiingine sijaithibitisha tutawachoma nyie tu Tena bila kuvaa PPE
HahahahahHahaha mzee Niko jikoni kufake pepa mbona simple Sana Sina mtoto nachomaje J.J
Hili si ndio lile cha kichawi ? Ukipanda hurudi
Mmeshindwa mipakani kabisaaa.Hahahahaa
Hahahahah
Hahahaha we si Upo jikoni umesema ? Washauri wafanye hivyMmeshindwa mipakani kabisaaa.
Kuweni serious basi hahahaha
Aje porini huku ? Ila mkuu sema wewe huyu lizzy aanafunika humu.Tuma Tx ikamchukue aje akusalimie basi![]()