Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Abeeeeeeeeeee[emoji126][emoji126][emoji126]
Ukweli ni kwamba wale watu walinijaza upepo hadi nikapiga pafu mbili pale ile wine.
Yaani walinimiminia kabisa pale,wakaanza upya kunijaza upepo,eti si unaona haya ni maziwa kabisa[emoji1787]


Bahati nzuri nilipata dharula nikaondoka fasta...bila hivyo yaani ningetoka pale nimelewa.
Nasema uongo ISO M.CodD?
 
Chat n picha
IMG_20210811_154046_849.jpg
 
Back
Top Bottom