Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Leo
IMG-20210810-WA0002.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kupendana ndio kulishana??

d hiii stage ndio uko nayo sasa hivi??? mnalishana na bae

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Kupendana sio kulishana, maana unaweza lishwa kwa unafiki pia. Ila nahisi ni caring maana huwezi kumcare mtu usiyempenda. Najua unajua banaa 😂

Nilishapitia.. I know how beautiful is to love & to be loved.... Ushawahi bebea mamsap wako handbag? Kumlisha je? Kumtolea mifupa kwenye samaki?Public places likely kwenye ma restaurant huko Bila kujali macho ya watu... I've such experience.
 
Kupendana sio kulishana, maana unaweza lishwa kwa unafiki pia. Ila nahisi ni caring maana huwezi kumcare mtu usiyempenda. Najua unajua banaa

okey.....hand bag nimewahi beba na nilibeba kwasababu yy kuna kitu alikua amebeba ikabd nimsaidie.....hapo kwenye kutoleana mifupa nimeeishia kuona kwenye movie.....

ila kulishana nimejaribu kuwakumbuka ma ex sijaona ka nimewahi kulishana na mtu

umri bado unaruhusu ipo siku nitapata wa kulishana nae na nitatuma picha hapa selfika

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kupendana sio kulishana, maana unaweza lishwa kwa unafiki pia. Ila nahisi ni caring maana huwezi kumcare mtu usiyempenda. Najua unajua banaa

Nilishapitia.. I know how beautiful is to love & to be loved.... Ushawahi bebea mamsap wako handbag? Kumlisha je? Kumtolea mifupa kwenye samaki?Public places likely kwenye ma restaurant huko Bila kujali macho ya watu... I've such experience.
tubariki na picha ako moja

Back
Top Bottom