Yeah imezoeleka hivyo na hadi leo watu wengi wanajua ni mkoaYah uko sawa.
Hata mimi nilitaka kumaanisha mkoa wa Ruvuma...sijui kwanini huu mkoa huwa nauita Songea.



unajua nilijiegesha kidogo nikazinduka usiku wa mananeWe mdada unapenda kulakula lakini kembemba.
Kuna siku nilimuona kule anaulizia Bei ya gari fulani hivi..
Nikasema Hiiii...Kumekucha..![]()




Jamani blackcornshman kwani we unakula mara ngapi kwa siku???We mdada unapenda kulakula lakini kembemba.
Mimi breakfast mchana nashindia matunda mpaka saa mbili au tatu usiku,we mwenzangu unashindilia menu ya uhakika lakini unenepi.Jamani blackcornshman kwani we unakula mara ngapi kwa siku???