Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Hi FS mrembo flani hivi..za siku ni poa sana !za kwakoHi Chakorii vilips flani hivi, za sikuu
Hi FS mrembo flani hivi..za siku ni poa sana !za kwakoHi Chakorii vilips flani hivi, za sikuu
Hatimae 🥰🥰View attachment 1881392
Chat na Picha
CC Nuzulati , Chakorii , Heaven Sent , Saint Anne ,Karma
Dear Chilita mbona umechagua jina gumu hivyo la Kigogo?MBUKWENYU 😄🏃🏻🏃🏻
Picha ya mwaka 77 tunajiandaa kwenda Uganda kwenye ile vita na Iddi Amini.Hatimae 🥰🥰
Tuna ishu gani tena jamaniPicha ya mwaka 77 tunajiandaa kwenda Uganda kwenye ile vita na Iddi Amini.
Vipi yale mambo Chakorii au bado unaogopa kuniua kizee miye? Unajua nilishawaambia wajukuu wanitumie nauli in case ukamaliza pension yangu huko Zanzibar? Bila kusahau mazoezi ya utimamu ya kuogelea iwapo nauli ikichelewa kutumwa🙊😜🏃🏻🏃🏻
Naomba ruhusa niingie ofisini kwa Waziri Mkuu.Tuna ishu gani tena jamani
Habari za siku nyingi mpendwa
Hapana Asante.Naomba ruhusa niingie ofisini kwa Waziri Mkuu.
Naam naam mama mtumishi.....na kwa haya machache, wacha tu baba mtumish a blow cover online, hakuna namna. It's worth it
Leo ilibaki kiduchuuu ninunue.
Sijui Shetani gani ameingilia Kati.
Pep Mtumishi mwenzangu,huwa namuelewa sana.
Itabidi muanze upya Sasa,maana Pep alivuruga formations zenu zote.
Asante sana kwa maombi baba mtumishi.
Wakati tunasubiri huo wakati wa mimi kuja kuketi pembeni kwenye kile kiti saafi ,basi tuanze kutoa ile emoj iliyoharibu picha.
Nipo chini ya miguu yako baba mtumishi![]()
Nasubiri nione baba mtumishi akitimiza ahadi yakeNaam naam mama mtumishi.....na kwa haya machache, wacha tu baba mtumish a blow cover online, hakuna namna. It's worth it

"Pep Mtumishi mwenzangu,huwa namuelewa sana"
Mtumishi mwenzangu haya maneno yamejaa upako wa kitumishi sana kiasi kwamba ile emoji lazima iondolewe mapema sana nikitoka kwenye 'huduma'![]()




.Baba mtumishi hakumbuki kuwahi kuku let down atiNasubiri nione baba mtumishi akitimiza ahadi yake
Don't let me down.