Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mhuni wa bachu
IMG-20210805-WA0000.jpg
 
Mtumishi mwenzangu huoni hizi sifa zitapasua hiki kichwa kitu ambacho kitapelekea watumishi tusionane physically?

Pamoja na yote, wacha tu niseme ukweli kwamba mtumishi mwenzangu kwamba you really is a 'lady'
Yote kwa yote...atukuzwe yeye aliyetufinyanga kwa mfano wake.

Hii michoro ntaiondoa mama mtumishi, lakini sio leo (Usisahau sijawahi kuwa promisless fella)
Hizi sifa haziwezi pasua kichwa chako
Na hapa nimeamua nisiende mbali,Nimekusifia kitumishi kwa nidhamu
Nilitamani niende mbali zaidi.

Mtumishi usipoiondoa leo michoro utakuwa unawapa wale jamaa nguvu.
Ujue weekend wameniahidi kutoka na mimi... weekend ndio imeanza hivi.

Hebu fanya kuwapiga gap kabla hawajakuwahi,iondoe ile michoro halafu utakuwa umeshinda.
 
Baba alifanikiwa kuniachia rangi na mguu wake.
#black.

Nasubiri uondoe michoro Mtumishi...
Unaharibu picha nzuri namna ile
I've been thirty something years discovering that the queen of all colors is black.

Sina shaka miaka mingi ijayo (70) nitakapotwaliwa ntakutana na mzee wetu na kumshkuru sana kwa kutuletea 'a black beauty mtumishi'
 
Mtumishi una maneno

Haya toa michoro kabla hutujaenda mbali.
 
Hizi sifa haziwezi pasua kichwa chako
Na hapa nimeamua nisiende mbali,Nimekusifia kitumishi kwa nidhamu
Nilitamani niende mbali zaidi.
Umenilaza bila kula tayari mtumishi mwenzangu.

Kwa haya maneno nimeshiba kabisa na moyo wangu umejawa furaha isiyo kifani
Mtumishi usipoiondoa leo michoro utakuwa unawapa wale jamaa nguvu.
Ujue weekend wameniahidi kutoka na mimi... weekend ndio imeanza hivi.

Hebu fanya kuwapiga gap kabla hawajakuwahi,iondoe ile michoro halafu utakuwa umeshinda.
Mama mtumishi hii sehemu iliyobaki ntaimalizia 'magotini'

Naelekea mlimani weekend hii, and...

'Amin amin nawaambieni' mtu yeyote atakayempa mama mtumishi mvinyo hasira na Bwana itamuwakia.
 
Umenilaza bila kula tayari mtumishi mwenzangu.

Kwa haya maneno nimeshiba kabisa na moyo wangu umejawa furaha isiyo kifani

Mama mtumishi hii sehemu iliyobaki ntaimalizia 'magotini'

Naelekea mlimani weekend hii, and...

'Amin amin nawaambieni' mtu yeyote atakayempa mama mtumishi mvinyo hasira na Bwana itamuwakia.

Baba Mtumishi hivi unaijua vizuri njaa au unaisikia?
Utaamka kula usiku.

Baba Mtumishi fanya mambo yasiwe mengi,ondoa ile michoro...mbona unaninyanyasa hivyo lakini,unamnyanyasa yatima kweli
 
Back
Top Bottom