Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimerudi mjini leo... naanza kumuwinda.

Hanikwepi wallahi

Nimemuona Pep Kama anataka kumtoa Saint Anne kwenye reli... hatutakubali!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo ilibaki kiduchuuu ninunue.
Sijui Shetani gani ameingilia Kati.

Pep Mtumishi mwenzangu,huwa namuelewa sana.

Itabidi muanze upya Sasa,maana Pep alivuruga formations zenu zote.
 
Basi we ukae utuangalie tu [emoji16][emoji14]
Nimeanza mdogo mdogo na kahawa.

Taratibu nkitafika kwenye wine.
IMG_20210805_005848_4.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo ilibaki kiduchuuu ninunue.
Sijui Shetani gani ameingilia Kati.

Pep Mtumishi mwenzangu,huwa namuelewa sana.

Itabidi muanze upya Sasa,maana Pep alivuruga formations zenu zote.
Vile nafuatilia hili sokomoko la pombe baada ya kusikia kuwa mtumishi nae anataka mtanange😄😄😄
7543.jpg
 
Back
Top Bottom