Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,519
- 235,236
He's the same God[emoji7]
Happy Friday [emoji3590]
Happy Friday [emoji3590]
Mimi nataka Pombe😄😄😄[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Yesu ni wimbo wangu uh uh
Furaha ya Moyo wangu Yesu
Yesu rafiki yangu Mungu wangu
We ndo mpenzi wangu sitakwacha
Niende wapi?nimekuchagua wewe
Nimfwate nani? kwako Kuna utulivu
Tangu nilipokupokea wewe Yesu
Roho yangu ikajaa tumaini
Roho ikajaa na furaha
Tegemeo langu ni Yesu
Msaada wangu wa karibu ni wewe
Nakutegemea Yesu wangu
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
.........….…….…………………………
Yesu ni wangu wa siku zote
Yeye anajua maisha yangu
Hata usiku hata mchana
Yesu ni wangu wa siku zote
………………………………………………
[emoji444][emoji444][emoji444][emoji444][emoji444][emoji444][emoji444][emoji444][emoji444][emoji444].
Hata ningekuwa na mchumba
Hata ningekuwa na mume wangu
Angenipenda kamanda Yesu
Yesu ni wangu wa siku zote eh eh eh
[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Hata ningekuwa ningekuwa na babangu[emoji26] yeyeyeyeh
Angenipenda kamanda Yesu [emoji119][emoji119][emoji119]
Yesu ni wangu wa siku zote
[emoji119][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji7][emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 1882181
This song[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji119]
Chandelier de Gloire
nasubiri mguu ukiwa na pete....its been long time
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Huwa kitamu ...kwa kuronga nae[emoji4]Cha Asubuhi na Tigo
Cha Asubuhi na Tigo
HahahahaHuwa kitamu ...kwa kuronga nae[emoji4]
Huduma bora asubuhi ni tigo ......ktk kujiunga
Dah..[emoji39][emoji39][emoji39]halafu nimetoka kufanya maombi[emoji29][emoji29][emoji29]View attachment 1882192[emoji2][emoji2]
Maombi kilingeniDah..[emoji39][emoji39][emoji39]halafu nimetoka kufanya maombi[emoji29][emoji29][emoji29]
Umekunywa chai na machungwa?View attachment 1879436
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Ngoja nikuitie ISO M.CodD akuongeze kwenye kijiwe chetu Cha kunywa[emoji38]Mimi nataka Pombe[emoji1][emoji1][emoji1]
Your cooking skill looks extra miles from mine.
Nitanunua daftari uwe mwalimu wangu, kuna mahali nimefeli kumtokea massai lady kisa lugha hiyo🙊Hahaaaaaa. ... I'm not among them.
Takwenya...ikwooo
Subhai...iivaa
Jirani umenilaza na njaa jana, kiporo changu kimeharibikaGesi yangu ina matumizi ya kupasha mwili wa Mtu kama anaweza aje
Kwa kweli aliyekuficha atapata dhambi, kwa muda mrefu tulikosa mambo haya kisa yeye 😄
hakika Mungu ni muaminifu[emoji120]View attachment 1882192[emoji2][emoji2]